Mkuu kazi ya Mahakama ni kutafsiri sheria tu. Ukileta mambo ya logic utafanya vituko, hii mbona ipo wazi sana.
Mkuu ukipata muda google hii case; Mantrac Tabzania Limited Vs. Goodwill Ceramic Tanzania Limited, Civil Appeal No. 269/2020, CAT - DSM. Mugasha, J.A ni Rufaa ya juzi tu August, 2023 sasa kaisome vizuri kabisa, utajifunza kuwa mambo ya kutumia logic sio kazi ya Mahakama, Mahakama inafanya kazi yake kwa kuongozwa na sheria tu.
Kiufupi ni kwamba hiyo Logic unayotaka waitumie ilishatumika wakati wa kutunga hiyo sheria sasa wao ni kuitafsiri na kuifanyia kazi sheria husika.