YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Hiyo ni mbadala wa vibokoInahusu nini mwanafunzi kudeki shule?
Bado tupo kijinga sana, akili za kitumwa.
Uchagani kumebadilika Zamani wazazi wa kichaga walikuwa wakali kama pilpili hawataki mtoto adeke.Huyo mtoto ingekuwa zamani anarudi anasema mwalimu.kampiga mzazi angemtandika vibokonvingine bila hata kuuliza huko shuleni kakosa nini.Walikuwa na imani kuwa mwalimu akimtandika viboko lazima ana kosa
Sasa hivi ufaulu watoto wengi uchagani umeanza kuwa chini kutokana na wazazi na watoto wao kuiga tabia hizo ambazo wazazi wa makabila ya Pwani ndizo wanazo sana.Mwalimu akifokea mtoto.mzazi huyu hapa hadi walimu wanazira wanaacha mitoto ya Mikos pwani ijiamliamulie yenyewe kama inataka kusoma sawa kama haitaki sawa .Hizo tabia watu wa Pwani wameshaambukiza wazazi na watoto uchagani.Ushahidi huyo mama na Mwanae.Wameonyesha mia kwa mia tabia za wazazi na watoto wa mikoa ya Pwani
Hayo mambo ya kawaida mikoa ya Pwani