Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Mkuu usijisumbue. Hapa JF kisanga kikifanywa na Mchagga au inshu ikitokea MOSHI hakyani usijaribu kuiponda utashambuliwa mpaka ukome, wanajikuta kwamba hata Upumbavu wanaoufanya wanataka uungwe mkono tuuu
Nimekusoma
 
Kuna siku nilipita karibu na shule fulani huku kwetu, hakika fimbo za migongo zilitembea kwa wanafunzi. Fimbo zisizo na idadi. Kila mmoja alibaki kuduwaa maana ile haikua kawaida. Kukabaki kuambizana kuwa shule kama hizi sio za kuleta watoto....

Walimu wawe na kiasi hasa kwenye kuadhibu wanafunzi. Kuwachapa hovyo watoto haisaidii kitu zaidi ya kuwaumiza
 
Patel alikufa maskini ila itakuwa corona!
Kulikuwa na kamchumba kangu ka kihindi kanaitwa Yassin Forest 🤣🤣🤣🤣
Nimepamiss ze club bwalo
Watoto wa kihindi bwana walikuwa hawagusi chakula cha shule, wao ni canteen tu mwendo wa chips vyuku.

Wangu alikuwa anaitwa Abraham, wanatamka "Abrahami" 🤣 sijui hata yuko wapi siku hizi
 
Mkangwa au Mananga, hata mimi enzi hizo hizo, Matroni mama Mushi, Stephano, Makuru , Hamisi, Fumbili. Ndiyo walimu wa hostel hao.
Mwl Hamisi alikua na mdomo yule mama zamu yake akiamua kutuchamba wasichana 😁😁😁!
" Mnapanuapanua chini mmeshakua makopo tu anamalizia na msonyo ptyuuuuuu🤠🤠🤠!"

Yeah Mfumbili alikua mpole sana
Kuna mwingine alipataga shida ya akili alikua anafundisha French alikua anaitwa Bandima...
Morosec muda sana lol!!
 
Ac

Achaneni na mambo ya enzi zetu enzi zetu! Dunia imebadilika pakubwa sana kuanzia kiuchumi, kielimu, kisiasa na Kila kitu. Sasa hivi hata watoto wenyewe afya zao sio nzuri maladhi kibao, unachapa mtoto fimbo tano tu anakua hoi hawezi hata kunyanyuka tofauti na watoto wa miaka yetu hiyo, tulikua imara kweli kweli.

Sasa we endelea kusema enzi hizo siku ukiua mtoto wa mtu ndio utajua kwamba kweli Dunia imebadilika.
Mzee tukubali tukatae malezi ya watoto siku hizi hayapewi kipaumbele.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Watoto wa kihindi bwana walikuwa hawagusi chakula cha shule, wao ni canteen tu mwendo wa chips vyuku.

Wangu alikuwa anaitwa Abraham, wanatamka "Abrahami" 🤣 sijui hata yuko wapi siku hizi
Mi wangu alikua anakaa Maeneo ya karibu na shule yenu Basi jioni lazima aje Maeneo ya Hostel Morosec alikua ananiletea chakula cha nyumbani kwao mara moja moja!!🤠🤠
 
Mkuu usijisumbue. Hapa JF kisanga kikifanywa na Mchagga au inshu ikitokea MOSHI hakyani usijaribu kuiponda utashambuliwa mpaka ukome, wanajikuta kwamba hata Upumbavu wanaoufanya wanataka uungwe mkono tuuu
Kwani jf ni ya wachaga?? We vipi bana!! Humu Kuna watu wa Kila Kanda na hapa wazazi wanatoa maoni na hisia zao, sasa ukianza kutuletea mambo ya ukabira hapa unajivua nguo.
 
Una point, lkn mzazi naye ana mdomo, angeweza kuongea na walimu sio kuchukua Sheria mkononi.

Unafikiri mtoto atakua anajisikiaje akijua walimu hawatamuadhibu Tena.
Unafikiri Kuna mwalimu hapo shuleni atashughulika na huyo mtoto?
Yuko mzazi mmoja Dar alikwenda shuleni kwa lengo la kumpiga mwalimu lkn walimu wanamtetea mwenzao na kumuambia huyo mzazi, kuanzia leo hatuta shughulika na huyo mtoto wako hata akiumwa hakuna atakaye kupigia simu.
Mzazi alidhani Ni utani.
Kwahiyo hoja yako ni kwamba inatakiwa walimu wawafanye watakavyo wanafunzi kwa kuogopa kupewa taarifa za watoto wetu wawapo shuleni.??

Acheni akili za kitumwa hizo
 
Watoto wa kihindi bwana walikuwa hawagusi chakula cha shule, wao ni canteen tu mwendo wa chips vyuku.

Wangu alikuwa anaitwa Abraham, wanatamka "Abrahami" 🤣 sijui hata yuko wapi siku hizi
Me wangu Yassin alikuwa anachukua hela dukani kwao anakuja kunihonga, kuna siku alichukua simu mpya dukani kaja kunihonga 😜😜😜
Bahati yake nilisoma mwaka mmoja!!
Ningeendelea angenikoma 🤣🤣🤣
Afu kalikuwa kajinga kananiletea mambo ya kuch kuch hotae mtoto wa kikinga??
 
Mi wangu alikua anakaa Maeneo ya karibu na shule yenu Basi jioni lazima aje Maeneo ya Hostel Morosec alikua ananiletea chakula cha nyumbani kwao mara moja moja!!🤠🤠
Wanapenda sana pisi za kiafrica, ni vile tu kwao hawaruhusiwi. Wangepewa uhuru wale wa kuoa, dada zao wangejua hawajui.
 
Mwl Hamisi alikua na mdomo yule mama zamu yake akiamua kutuchamba wasichana 😁😁😁!
" Mnapanuapanua chini mmeshakua makopo tu anamalizia na msonyo ptyuuuuuu🤠🤠🤠!"

Yeah Mfumbili alikua mpole sana
Kuna mwingine alipataga shida ya akili alikua anafundisha French alikua anaitwa Bandima...
Morosec muda sana lol!!
Hamisi alifariki kitambo, Fumbili yule kijana wake Peter alifariki pia km unamjua. Hamisi alizaq na Sms musoma nae pia alifariki.Stephano yupo Dar kuna siku nipo pale chang'ombe natoka kuzulura nikakutana nae nikamsalimia tukapiga stori kidogo tukaachana kizungu.
 
Back
Top Bottom