Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Tatizo mwandishi ameamua kuchagua kuwa upande wa waalimu bila hata kutumia akili, hivi kweli mtoto achapwe fimbo moja halafu mzazi aje kufanya fujo shuleni?

Fanyeni uchunguzi kidogo kabla ya kuleta habari kwenye public.
-inawezekana mtoto ana matatizo ya afya ndio maana alikataa kudeki, so mwalimu kabla ya kukurupuka kutumia mafimbo angemshirikisha mzazi(siku hizi simu zipo kila mahali).

-semeni ukweli alimchapa vipi na alitoa maneno gani wakati anamchapa au wakati mzazi alipokuja shuleni.

UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE MZAZI.
Wewe umeongea hoja ya msingi huenda kulikuwa na shida mahali mzazi akashindwa jizuia.
Hata hivyo mzazi alitakiwa akamshitaki mwalimu sehemu sahihi siyo kumpiga.

Hapo ni jinai anaweza kufungwa.
Kuna waalimuwengine hawapo makini na Kuna watoto wengine Wana malezi mabaya.
 
Yah nadhani alifariki kwa Corona. Ila Moro sec ilikuwa na madada du sio poa.
Kumbe juzijuzi tu hapa jamani apumzike kwa amani !

Miaka hiooo Morosec Hostel kuna shida ya maji ile jioni tulikua tunaenda shuleni kwenu kuomba maji!

Yanii Morosec ubishoo tangu enzi hizoo sikuhizi na hiki kizazi nasikia ndio balaa tupu!
 
Kumbe ulisoma Moro sec udugu?
Mwenzio nilikuwa Forest hill kwa Patel ila nilisoma mwaka mmoja nikahama
 
W
Kabisa aseee imekua too much!!
Unakuta mzazi mwingine anakuja shule anakufosi umsikilize muda huohuo anotaka yeye anakwambia unamchekewesha ana shughuli za kufanya!😁😁😁!

Kmamakeee usintafutie matatizo rudi kafanye hizo shughuli zako shenztypeee!!
Wewe tulia si ulitaka mwenyewe kuwa mwalimu? Unaelewa maana ya ualimu ni wito???
 
Back
Top Bottom