Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 878
- 1,511
Wahenzi nyie eti wanafunzi wakubwa wakubwa wanakupikia chai! Ole wako ole wako. nimeleta mtoto kusoma wewe umgeuze mke wa kukupikia chai? Dahh! Nimejikuta napata hasira mpaka natetemeka.nilikuta kuna utaratibu wa kupikiwa chai na msosi wa mchana na wanafunzi wa kike wale wakubwawakubwa. Mbona ni kawaida sana wanafunzi kupikia chai walimu staff? Ila chai yangu ilikuwa ya nyumbani sio ya ofisini. We usingeniweza ningekubamiza mbali. Fahamu kuwa sie walimu wengine tunajua dhahma na tafrani zinazoweza kutokea shuleni muda wowote ikiwemo sisi kwa sisi kunyukana. Kwa hiyo muda wote tuko on alert ku deal na kitu chochote cha shari kitakochotokea
Wadau wa humu nadhani mmeona maoni ya mwl huyu LOTH HEMA, sasa kwa taarifa yenu Kuna walimu wengi sana wenye akili mbovu kama za huyu mwamba sasa mzazi ntakuwa nimefanya kosa kumzabua mabanzi na mitama mwl wa design hii kama akijichanganya kwa mwanangu?????