Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Alimkuta mzembemzembe....tungegawana majengo au tungeenda jengo moja
Kabisa aseee imekua too much!!
Unakuta mzazi mwingine anakuja shule anakufosi umsikilize muda huohuo anotaka yeye anakwambia unamchekewesha ana shughuli za kufanya!😁😁😁!

Kmamakeee usintafutie matatizo rudi kafanye hizo shughuli zako shenztypeee!!
 
Mgonjwa yuko pale kwa ajili ya kutibiwa, Mwanafunzi yuko pale kwa ajili ya kupata elimu, vivyo hivyo anayeenda benki anaenda kwa masuala yake ya fedha, anayeenda uwanjani anakwenda kutazama mpira n.k hayo mengine yanapaswa kufanywa na wahusika wa eneo la kazi
You can't be serious weeee!!

Usafi wa mazingira ya shule unafanywa na wanafunzi Ndiomana kuna ratiba za usafi kabisa acheni mambo ya ajabu!
 
Mnaongea tu hapa ,hamjui mazingira magumu wanayokutana nayo waalimu huko mashuleni , wewe ukitukanwa na kujibiwa majibu ya kashfa na hata kushambuliwa physically na hao madogo washenzi wasio na adabu kutokana na malezi mabovu utakaa umeangalia tu na kupotezea si ndio ?
Mnalea kizazi cha kishenzi sana ,na ndio maana hata kizazi kimekuwa cha ovyo na elimu imeshuka sana ,mnazalisha jamii ya watu bogus na washenzi wasiokuwa na adabu wala nidhamu na maadili katika jamii
Wewe usituletee mambo Yako ya kikoloni hapa, hicho kizazi chako kimelisaidia Nini taifa hili?? Kizazi chako ndio kizazi cho hovyo kilicholiingiza taifa kwenye umaskini wa kutupwa! Kizazi Cha kinafiki tumbo mbele.
 
Kwani walimu ni nani mbona wazazi majumbani wanafanya kazi za usafi ...walimu wa kike wadeki wakiume wakate michongoma na kuchimba shimo za taka
Lkn mwalimu kufanya kazi ya usafi wakati mwanafunzi yupo hiyo naona sio sawa! Tutakua hatujawatendea haki walimu wetu, kikubwa ninachokiona kazi ziwe na kipimo, kazi ziwe za kumfundisha/kumjenga mtoto na sio kumkomoa.

Mimi ninachokipinga ni adhabu za kiuonezi na kikatiri kwa watoto wadogo zinazotolewa na walimu wasiojua maadili ya kazi zao
 
Mnaongea tu hapa ,hamjui mazingira magumu wanayokutana nayo waalimu huko mashuleni , wewe ukitukanwa na kujibiwa majibu ya kashfa na hata kushambuliwa physically na hao madogo washenzi wasio na adabu kutokana na malezi mabovu utakaa umeangalia tu na kupotezea si ndio ?
Mnalea kizazi cha kishenzi sana ,na ndio maana hata kizazi kimekuwa cha ovyo na elimu imeshuka sana ,mnazalisha jamii ya watu bogus na washenzi wasiokuwa na adabu wala nidhamu na maadili katika jamii
Mkuu usijisumbue. Hapa JF kisanga kikifanywa na Mchagga au inshu ikitokea MOSHI hakyani usijaribu kuiponda utashambuliwa mpaka ukome, wanajikuta kwamba hata Upumbavu wanaoufanya wanataka uungwe mkono tuuu
 
Inahusu nini mwanafunzi kudeki shule?

Bado tupo kijinga sana, akili za kitumwa.
Kwa hiyo adeki nani?.Hii nchi tuna watu wa hovyo sana, sasa mtoto akiwa shule si ajifunze shughuli za mikono ili baadaye aweze kujitegemea?!!.Tatizo tunaiga Uzungu mwingi na kumbe uhalisia wenyewe wa maisha yetu haupo hivyo ndio sababu litoto linamaliza shule bila kujua kazi yeyote,kiufupi linakuwa ni USELESS.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Kabisa aseee imekua too much!!
Unakuta mzazi mwingine anakuja shule anakufosi umsikilize muda huohuo anotaka yeye anakwambia unamchekewesha ana shughuli za kufanya!😁😁😁!

Kmamakeee usintafutie matatizo rudi kafanye hizo shughuli zako shenztypeee!!
Wanasema walimu hawajitambui ingali nao ndiyo walikopitia...kuna muda wakija juu inabidi kuwaonyesha kuwa tunajitambua.mxiew
 
Inahusu nini mwanafunzi kudeki shule?

Bado tupo kijinga sana, akili za kitumwa.
It was all about self reliance lesson. Lini huyo mtoto atajua kufanya usafi wa mazingira anayo ishi Kama hamtaki afunzwe shuleni au nyumbani?
Fikiri kabla ya kuandikia.
Kama huyo mtoto haitaji kujua kujihudumia anataka kuhudumia basi aende private school wanakoweka janitor wa kuwafanyia usafi.

Serikali haina uwezo wa kuajiri wafanya usafi shule zote za umma. Siyo ajabu hiyo mzazi angeambiwa achangie gharama ya kumlipa janitor angalalamika elimu bure kwanini wanachangishwa michango.
 
Back
Top Bottom