Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Kumbe ulitaka Nani afanye usafi shuleni?
Kwa akili yako iliyochoka unataka walimu wanaolipwa $200 wakadeki vyoo vya wanafunzi?
Wake up young lady .
Acha kumuita young lady huyo malaya wa enzi za TANU. Nchi inapata uhuru tarehe 9/12/1961 yeye yuko gesti ananyanduana.
 
Tatizo mwandishi ameamua kuchagua kuwa upande wa waalimu bila hata kutumia akili, hivi kweli mtoto achapwe fimbo moja halafu mzazi aje kufanya fujo shuleni?

Fanyeni uchunguzi kidogo kabla ya kuleta habari kwenye public.
-inawezekana mtoto ana matatizo ya afya ndio maana alikataa kudeki, so mwalimu kabla ya kukurupuka kutumia mafimbo angemshirikisha mzazi(siku hizi simu zipo kila mahali).

-semeni ukweli alimchapa vipi na alitoa maneno gani wakati anamchapa au wakati mzazi alipokuja shuleni.

UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE MZAZI.
Kuna wazazi ambao walipata watoto baada ya kuhangaika sana Sasa usije mchapia mtoto wake kwenye jambo lisilo eleweka.....

Nikiwa mdogo dada etu mtoto wa baba mkubwa alikua na mtoto wake mtundu mtundu sanaaa ukimgusa kinawaka....

☺️☺️😊😊☺️
 
Tatizo mwandishi ameamua kuchagua kuwa upande wa waalimu bila hata kutumia akili, hivi kweli mtoto achapwe fimbo moja halafu mzazi aje kufanya fujo shuleni?

Fanyeni uchunguzi kidogo kabla ya kuleta habari kwenye public.
-inawezekana mtoto ana matatizo ya afya ndio maana alikataa kudeki, so mwalimu kabla ya kukurupuka kutumia mafimbo angemshirikisha mzazi(siku hizi simu zipo kila mahali).

-semeni ukweli alimchapa vipi na alitoa maneno gani wakati anamchapa au wakati mzazi alipokuja shuleni.

UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE MZAZI.
Kuna wazazi ambao walipata watoto baada ya kuhangaika sana Sasa usije mchapia mtoto wake kwenye jambo lisilo eleweka.....

Nikiwa mdogo dada etu mtoto wa baba mkubwa alikua na mtoto wake mtundu mtundu sanaaa ukimgusa kinawaka..m

☺️☺️😊😊☺️
 
Kule vijijini hadi kesho kwenye ratiba ya masomo kuna vipindi vinaitwa EK! (Elimu ya Kujitegemea)

Masika ni kuja na jembe kwenda kulima shule zina maeneo ya kutosha!

Kama wazazi hawataki watoto wafanye usafi basi waongee na uongozi wa shule wawe wanachanga wao pesa ili waajiriliwe watu kufanya usafi shuleni.
 
Hali ya taharuki imetokea katika shule ya msingi Narumu, katika Kijiji cha Narumu wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, baada ya mama mmoja ajulikanae kwa jina la Valentina kweka, kuingia ofisi ya walimu na kumpiga Mwalimu.

Mwalimu huyo ambaye ni wa kike (jina limehifadhiwa) alijeruhiwa hivyo Kupelekea kutoka damu puani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mwalimu huyo kumchapa mwanafunzi huyo wa darasa la tano fimbo moja kwa kosa la kukataa kudeki darasa.

Mtoto huyo alienda kusema kwa mamake huku akilia ndipo mzazi huyo alipochukua jukumu la kwenda hadi shuleni na kumpiga mwalimu huyo na kumjeruhi.

Aidha mwenyekiti wa kijiji hicho Bwana Ismael Urassa pamoja na diwani wa kata hiyo wamethibisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa tukio hilo limefika ofisi ya kata na linashughukiwa.
Nyie mnatufanya watoto na habari zenu nusunusu hizi.mwanafunzi wa darasa la tano,tena wa kijijini mzazi wake apige mwalim kisa fimbo moja!!!?
 
We ndiyo mpuuzi, Yaani mtoto adeki wakati mwalimu upo? Tena unalipwa? Mwanafunzi kazi yake ni kusoma sio kufanya usafi miundombinu ya shule
Ila ni kazi ya Mwalimu!!?? Unaongea seriously!!? Afya ya akili ni tatizo kama uko serious....
 
Back
Top Bottom