Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Loveness yule ni tatizo jipya aisee!! πππMpaka tupate uhakika wa Loveness yule ukiupata tuu nijulishe nikupe yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loveness yule ni tatizo jipya aisee!! πππMpaka tupate uhakika wa Loveness yule ukiupata tuu nijulishe nikupe yangu.
Poyeeee weeee!!! ππππkie kie kie.kie πππ kwani alipelekwa kituoni?
Oyoooooo!!! ππππMsidandie thread fungueni ya kwenu
Walimu wanapigaga watoto wa watu sijui kisiran cha career yao yan sielewag, wanawagonga madogo fimbo kiroho mbaya aiseeUsikute Wala sio fimbo moja.Wacha wapigwe maana walimu wamezidisha.
Mimi sio Mwl Ila . Ila Mwl ana job description zake. Kazi ya kudeki labda serikali iajiri wahudumu kwaajili ya hio kazi ya kudeki madarasa. Kwa akili yako unasema watumishi wote waanze kufanya usafi wa ofisi zao yaani kuanzia president, waziri mkuu, mawaziri, na etc..wote hao ni watumishi wa serikali Kwa nyanja tofauti..Mnatakiwa muanze kudeki madarasa ili kuongeza TIJA katika elimu
Kuna mwalimu Oljoro Sec kwenye ligi ya madarasa alikuwa hafuatishi sheria 17 za mchezo wa soka. Yeye husimama na fimbo nje ya uwanja kama vile mshika kibendera. Mtu akicheza rafu anamwita na kumcharaza viboko kadhaa na kumwambia aendelee na mchezo. Hakuna red card.Walimu wanapigaga watoto wa watu sijui kisiran cha career yao yan sielewag, wanawagonga madogo fimbo kiroho mbaya aisee
Unaona sasa mkuu ndio nini sasa hapo ? Mpira unachezwaje na fimbo ? AiseeeKuna mwalimu Oljoro Sec kwenye ligi ya madarasa alikuwa hafuatishi sheria 17 za mchezo wa soka. Yeye husimama na fimbo nje ya uwanja kama vile mshika kibendera. Mtu akicheza rafu anamwita na kumcharaza viboko kadhaa na kumwambia aendelee na mchezo. Hakuna red card.
Mtoto anacheza mpira huku analia. ππUnaona sasa mkuu ndio nini sasa hapo ? Mpira unachezwaje na fimbo ? Aiseee
Ahahaha kuna ticha moja levi lilipiga mtoto wa sister angu akaja kusemelea kwa anko wake, nikamkodia wahuni walilitandika makofi wakaliambia lisiwe linapiga madogo janja limekuwa na discipline kweli sikuiz, wahuni nusu walipake weseeeMtoto anacheza mpira huku analia. ππ
Sema kumpiga Ticha ni inahitaji moyo sana na kufikiria. Ticha hadi kupigwa inatakiwa awe amevuka mipaja yote ya ustaarabu. Kuna ticha mmoja baada ya kumaliza shule ya msingi kuna mwenzetu alimpiga na tofali usiku akazimia. Yule ticha tukiwa darasa la 5 jamaa yetu alimfanyia kosa msichana kama vile tu harrasment. Ilipofika kwa yule ticha sijui ndo alikua mtetezi wa wanawake.. ilikuwa kengele ya kwenda nyumbani kula ikigongwa basi jamaa alitakiwa apitie kwa mwalimu na kupata fimbo 5 kwa wiki nzima.Ahahaha kuna ticha moja levi lilipiga mtoto wa sister angu akaja kusemelea kwa anko wake, nikamkodia wahuni walilitandika makofi wakaliambia lisiwe linapiga madogo janja limekuwa na discipline kweli sikuiz, wahuni nusu walipake weseee
Sio walimu wa leo wapiga mizinga alafu wanastress sana za maisha na wanatembea na wanafunziMkuu watu hawajui madhara ya kuwaumiza walimu. Tunasahau tupo hivi kwa sababu ya juhudi za walimu. Walimu msife moyo, timizeni wajibu wenu!
Stress ni nyingiUsikute Wala sio fimbo moja.Wacha wapigwe maana walimu wamezidisha.
Duuuh hawa maticha hawa noma sana mastaSema kumpiga Ticha ni inahitaji moyo sana na kufikiria. Ticha hadi kupigwa inatakiwa awe amevuka mipaja yote ya ustaarabu. Kuna ticha mmoja baada ya kumaliza shule ya msingi kuna mwenzetu alimpiga na tofali usiku akazimia. Yule ticha tukiwa darasa la 5 jamaa yetu alimfanyia kosa msichana kama vile tu harrasment. Ilipofika kwa yule ticha sijui ndo alikua mtetezi wa wanawake.. ilikuwa kengele ya kwenda nyumbani kula ikigongwa basi jamaa alitakiwa apitie kwa mwalimu na kupata fimbo 5 kwa wiki nzima.
Tatizo la kusoma mijitu mizima ya kike na kiume sekondari badala ya umri huo kuwa chuo kikuu.ππππ Na boys wa Mzumbe sec wamewatafuna sana wadada wa Kilakala na Moro sec!
Sisi wa Forest tulikuwa mashauzi mengi tunadeal na wahindi na wanachuo wa MU na SUA πππ
Udugu tuziache hizi story watu wataconnect dot wanijue bure
πππππππππTatizo la kusoma mijitu mizima ya kike na kiume sekobdari badala ya umri huo kuwa chuo kikuu.
Shule za sekondari za Serikali zimejaa wanafunzi vikongwe watu wazima ndio hao wanajua hata kupigana miti
Shule za private za sekondari umri wa sekondari unakuta wala hajui hata mapenzi ni kitu gani
Sekondari za serikali unakuta kidume kinaenda shule hadi na mashine ya kunyoa ndevu.Kibabu ndio kwanza kiko sekondari
Huko mbele tunakoenda mtadeki tu, zile zama za kuigeuza watoto misukule zimeisha. Walimu mmezi embu angalia majukumu ya mtoto:hata huko private sideki aisee! Eti nimeajiriwa private nafundisha wanafunzi na kudeki nideki! Bora nikakifungie cheti changu cha ualimu sandukuni niingie mtaani kusaka mafanikio kwa nguvu na akili zangu za asili kuliko fedheha ya kulipwa mshahara dhalili, ujinga huo niliukataa
Cha kushangaza na kusikitisha zaidi ni hii comment kupata likes 45 hadi Sasa!!!Mwanafunzi kudeki shule kwani yeye analipwa na serikali hizi kazi za kudeki walimu ndio wafanye wao.
Mwanafunzi kudeki shule kwani yeye analipwa na serikali hizi kazi za kudeki walimu ndio wafanye wao.
Naunga mkono hoja, ukute kapigwa fimbo 30 za mgongoni na kichwani. Walimu wa primary nawajua na siamini kama wamebadilikaTatizo mwandishi ameamua kuchagua kuwa upande wa waalimu bila hata kutumia akili, hivi kweli mtoto achapwe fimbo moja halafu mzazi aje kufanya fujo shuleni?
Fanyeni uchunguzi kidogo kabla ya kuleta habari kwenye public.
-inawezekana mtoto ana matatizo ya afya ndio maana alikataa kudeki, so mwalimu kabla ya kukurupuka kutumia mafimbo angemshirikisha mzazi(siku hizi simu zipo kila mahali).
-semeni ukweli alimchapa vipi na alitoa maneno gani wakati anamchapa au wakati mzazi alipokuja shuleni.
UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE MZAZI.
Safi sana. Huu mtindo wa kuchapa wanafunzi ni ushenzi uliopitiliza. Karne ya sasa unamchapa mtoto fimbo!Hali ya taharuki imetokea katika shule ya msingi Narumu, katika Kijiji cha Narumu wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, baada ya mama mmoja ajulikanae kwa jina la Valentina kweka, kuingia ofisi ya walimu na kumpiga Mwalimu.
Mwalimu huyo ambaye ni wa kike (jina limehifadhiwa) alijeruhiwa hivyo Kupelekea kutoka damu puani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mwalimu huyo kumchapa mwanafunzi huyo wa darasa la tano fimbo moja kwa kosa la kukataa kudeki darasa.
Mtoto huyo alienda kusema kwa mamake huku akilia ndipo mzazi huyo alipochukua jukumu la kwenda hadi shuleni na kumpiga mwalimu huyo na kumjeruhi.
Aidha mwenyekiti wa kijiji hicho Bwana Ismael Urassa pamoja na diwani wa kata hiyo wamethibisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa tukio hilo limefika ofisi ya kata na linashughukiwa.