Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Mnatakiwa muanze kudeki madarasa ili kuongeza TIJA katika elimu
Mimi sio Mwl Ila . Ila Mwl ana job description zake. Kazi ya kudeki labda serikali iajiri wahudumu kwaajili ya hio kazi ya kudeki madarasa. Kwa akili yako unasema watumishi wote waanze kufanya usafi wa ofisi zao yaani kuanzia president, waziri mkuu, mawaziri, na etc..wote hao ni watumishi wa serikali Kwa nyanja tofauti..
 
Walimu wanapigaga watoto wa watu sijui kisiran cha career yao yan sielewag, wanawagonga madogo fimbo kiroho mbaya aisee
Kuna mwalimu Oljoro Sec kwenye ligi ya madarasa alikuwa hafuatishi sheria 17 za mchezo wa soka. Yeye husimama na fimbo nje ya uwanja kama vile mshika kibendera. Mtu akicheza rafu anamwita na kumcharaza viboko kadhaa na kumwambia aendelee na mchezo. Hakuna red card.
 
Unaona sasa mkuu ndio nini sasa hapo ? Mpira unachezwaje na fimbo ? Aiseee
 
Ahahaha kuna ticha moja levi lilipiga mtoto wa sister angu akaja kusemelea kwa anko wake, nikamkodia wahuni walilitandika makofi wakaliambia lisiwe linapiga madogo janja limekuwa na discipline kweli sikuiz, wahuni nusu walipake weseee
Sema kumpiga Ticha ni inahitaji moyo sana na kufikiria. Ticha hadi kupigwa inatakiwa awe amevuka mipaja yote ya ustaarabu. Kuna ticha mmoja baada ya kumaliza shule ya msingi kuna mwenzetu alimpiga na tofali usiku akazimia. Yule ticha tukiwa darasa la 5 jamaa yetu alimfanyia kosa msichana kama vile tu harrasment. Ilipofika kwa yule ticha sijui ndo alikua mtetezi wa wanawake.. ilikuwa kengele ya kwenda nyumbani kula ikigongwa basi jamaa alitakiwa apitie kwa mwalimu na kupata fimbo 5 kwa wiki nzima.
 
Mkuu watu hawajui madhara ya kuwaumiza walimu. Tunasahau tupo hivi kwa sababu ya juhudi za walimu. Walimu msife moyo, timizeni wajibu wenu!
Sio walimu wa leo wapiga mizinga alafu wanastress sana za maisha na wanatembea na wanafunzi
 
Sema kumpiga Ticha ni inahitaji moyo sana na kufikiria. Ticha hadi kupigwa inatakiwa awe amevuka mipaja yote ya ustaarabu. Kuna ticha mmoja baada ya kumaliza shule ya msingi kuna mwenzetu alimpiga na tofali usiku akazimia. Yule ticha tukiwa darasa la 5 jamaa yetu alimfanyia kosa msichana kama vile tu harrasment. Ilipofika kwa yule ticha sijui ndo alikua mtetezi wa wanawake.. ilikuwa kengele ya kwenda nyumbani kula ikigongwa basi jamaa alitakiwa apitie kwa mwalimu na kupata fimbo 5 kwa wiki nzima.
Duuuh hawa maticha hawa noma sana masta
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Na boys wa Mzumbe sec wamewatafuna sana wadada wa Kilakala na Moro sec!
Sisi wa Forest tulikuwa mashauzi mengi tunadeal na wahindi na wanachuo wa MU na SUA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Udugu tuziache hizi story watu wataconnect dot wanijue bure
Tatizo la kusoma mijitu mizima ya kike na kiume sekondari badala ya umri huo kuwa chuo kikuu.

Shule za sekondari za Serikali zimejaa wanafunzi vikongwe watu wazima ndio hao wanajua hata kupigana miti

Shule za private za sekondari umri wa sekondari unakuta wala hajui hata mapenzi ni kitu gani

Sekondari za serikali unakuta kidume kinaenda shule hadi na mashine ya kunyoa ndevu.Kibabu ndio kwanza kiko sekondari
 
Tatizo la kusoma mijitu mizima ya kike na kiume sekobdari badala ya umri huo kuwa chuo kikuu.

Shule za sekondari za Serikali zimejaa wanafunzi vikongwe watu wazima ndio hao wanajua hata kupigana miti

Shule za private za sekondari umri wa sekondari unakuta wala hajui hata mapenzi ni kitu gani

Sekondari za serikali unakuta kidume kinaenda shule hadi na mashine ya kunyoa ndevu.Kibabu ndio kwanza kiko sekondari
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Haahahaah Yani mecheka km chizi hapa
 
hata huko private sideki aisee! Eti nimeajiriwa private nafundisha wanafunzi na kudeki nideki! Bora nikakifungie cheti changu cha ualimu sandukuni niingie mtaani kusaka mafanikio kwa nguvu na akili zangu za asili kuliko fedheha ya kulipwa mshahara dhalili, ujinga huo niliukataa
Huko mbele tunakoenda mtadeki tu, zile zama za kuigeuza watoto misukule zimeisha. Walimu mmezi embu angalia majukumu ya mtoto:
Muuza maandazi, visheti, mihogo, kupikia walimu chai, kwenda kufanya usafi na kupika majumbani mwa walimu, kufua, kulima, kufagia, kubeba maji, kubeba begi lenye uzito wa kilo 10 za daftari, visoda, kiporo, fagio na kidumu cha maji. Yaani unakuta mtoto mdogo amekomaa kama mchoma mkaa.
 
Mwanafunzi kudeki shule kwani yeye analipwa na serikali hizi kazi za kudeki walimu ndio wafanye wao.

Hata Mwalimu hakuajiriwa kudeki wala ToRs zake hakuna kudeki

after all hizo kazi za usafi zinafanywa na wanafunzi kwa hizi shule zetu za kidumu na ufagio tuliosoma huko hilo sio jambo geni.

Kama mwanafunzi alichapwa hakujeruhiwa wala hapakuwa na athari yoyote kiafya basi Mama achukue mwanae akamfundishie nyumbani maana huyo sio wa kwanza kuchapwa, tumechapwa sana tu huwezi kugomea mwalimu kisa umepewa kazi ya kudeki

Mama wa mtoto ajiulize yeye angemtuma mwanae adeki na mwanae akatae yeye kama Mama angefanya nini?
 
Tatizo mwandishi ameamua kuchagua kuwa upande wa waalimu bila hata kutumia akili, hivi kweli mtoto achapwe fimbo moja halafu mzazi aje kufanya fujo shuleni?

Fanyeni uchunguzi kidogo kabla ya kuleta habari kwenye public.
-inawezekana mtoto ana matatizo ya afya ndio maana alikataa kudeki, so mwalimu kabla ya kukurupuka kutumia mafimbo angemshirikisha mzazi(siku hizi simu zipo kila mahali).

-semeni ukweli alimchapa vipi na alitoa maneno gani wakati anamchapa au wakati mzazi alipokuja shuleni.

UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE MZAZI.
Naunga mkono hoja, ukute kapigwa fimbo 30 za mgongoni na kichwani. Walimu wa primary nawajua na siamini kama wamebadilika
 
Hali ya taharuki imetokea katika shule ya msingi Narumu, katika Kijiji cha Narumu wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, baada ya mama mmoja ajulikanae kwa jina la Valentina kweka, kuingia ofisi ya walimu na kumpiga Mwalimu.

Mwalimu huyo ambaye ni wa kike (jina limehifadhiwa) alijeruhiwa hivyo Kupelekea kutoka damu puani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mwalimu huyo kumchapa mwanafunzi huyo wa darasa la tano fimbo moja kwa kosa la kukataa kudeki darasa.

Mtoto huyo alienda kusema kwa mamake huku akilia ndipo mzazi huyo alipochukua jukumu la kwenda hadi shuleni na kumpiga mwalimu huyo na kumjeruhi.

Aidha mwenyekiti wa kijiji hicho Bwana Ismael Urassa pamoja na diwani wa kata hiyo wamethibisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa tukio hilo limefika ofisi ya kata na linashughukiwa.
Safi sana. Huu mtindo wa kuchapa wanafunzi ni ushenzi uliopitiliza. Karne ya sasa unamchapa mtoto fimbo!
 
Back
Top Bottom