MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Acha kumuita young lady huyo malaya wa enzi za TANU. Nchi inapata uhuru tarehe 9/12/1961 yeye yuko gesti ananyanduana.Kumbe ulitaka Nani afanye usafi shuleni?
Kwa akili yako iliyochoka unataka walimu wanaolipwa $200 wakadeki vyoo vya wanafunzi?
Wake up young lady .
Nambie bas nawe khaaa!! πππUnalo utalibeba hilo la jinsia
Huyo alikuwa chakula ya wapigania uhuru.Haha unamuita young lady mwenzio uchi ushaota kutu kwa uzee? Huyo anakuzalia mama'ko kabisa!
Hogo which??? Akuuuh ππππSi hilo hogo ulilosema πππ
πππ Hebu Kantry upitie hii comment ukimaliza meetingAcha kumuita young lady huyo malaya wa enzi za TANU. Nchi inapata uhuru yeye yuko gesti ananyanduana.
Weee mkorofi ujue,Nambie bas nawe khaaa!! πππ
ππππ mista maba anataka kukuletea posa akuoeHogo which??? Akuuuh ππππ
Hebu niache shangazi mie π
Kuna wazazi ambao walipata watoto baada ya kuhangaika sana Sasa usije mchapia mtoto wake kwenye jambo lisilo eleweka.....Tatizo mwandishi ameamua kuchagua kuwa upande wa waalimu bila hata kutumia akili, hivi kweli mtoto achapwe fimbo moja halafu mzazi aje kufanya fujo shuleni?
Fanyeni uchunguzi kidogo kabla ya kuleta habari kwenye public.
-inawezekana mtoto ana matatizo ya afya ndio maana alikataa kudeki, so mwalimu kabla ya kukurupuka kutumia mafimbo angemshirikisha mzazi(siku hizi simu zipo kila mahali).
-semeni ukweli alimchapa vipi na alitoa maneno gani wakati anamchapa au wakati mzazi alipokuja shuleni.
UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE MZAZI.
Kweli ninongβoneze basβ¦!Weee mkorofi ujue,
Kuna wazazi ambao walipata watoto baada ya kuhangaika sana Sasa usije mchapia mtoto wake kwenye jambo lisilo eleweka.....Tatizo mwandishi ameamua kuchagua kuwa upande wa waalimu bila hata kutumia akili, hivi kweli mtoto achapwe fimbo moja halafu mzazi aje kufanya fujo shuleni?
Fanyeni uchunguzi kidogo kabla ya kuleta habari kwenye public.
-inawezekana mtoto ana matatizo ya afya ndio maana alikataa kudeki, so mwalimu kabla ya kukurupuka kutumia mafimbo angemshirikisha mzazi(siku hizi simu zipo kila mahali).
-semeni ukweli alimchapa vipi na alitoa maneno gani wakati anamchapa au wakati mzazi alipokuja shuleni.
UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE MZAZI.
Nyie mnatufanya watoto na habari zenu nusunusu hizi.mwanafunzi wa darasa la tano,tena wa kijijini mzazi wake apige mwalim kisa fimbo moja!!!?Hali ya taharuki imetokea katika shule ya msingi Narumu, katika Kijiji cha Narumu wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, baada ya mama mmoja ajulikanae kwa jina la Valentina kweka, kuingia ofisi ya walimu na kumpiga Mwalimu.
Mwalimu huyo ambaye ni wa kike (jina limehifadhiwa) alijeruhiwa hivyo Kupelekea kutoka damu puani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mwalimu huyo kumchapa mwanafunzi huyo wa darasa la tano fimbo moja kwa kosa la kukataa kudeki darasa.
Mtoto huyo alienda kusema kwa mamake huku akilia ndipo mzazi huyo alipochukua jukumu la kwenda hadi shuleni na kumpiga mwalimu huyo na kumjeruhi.
Aidha mwenyekiti wa kijiji hicho Bwana Ismael Urassa pamoja na diwani wa kata hiyo wamethibisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa tukio hilo limefika ofisi ya kata na linashughukiwa.
Dume gani lina matrakoo makubwa vile??? khaaaa ππππππππ mista maba anataka kukuletea posa akuoe
Ukiamua niite She / he miye sina kwere na yeyote dearest.Kweli ninongβoneze basβ¦!
Usiniache njia panda, itakuwa siri yetu! ππ
Ila ni kazi ya Mwalimu!!?? Unaongea seriously!!? Afya ya akili ni tatizo kama uko serious....We ndiyo mpuuzi, Yaani mtoto adeki wakati mwalimu upo? Tena unalipwa? Mwanafunzi kazi yake ni kusoma sio kufanya usafi miundombinu ya shule
π€£π€£π€£π€£π€£ sijui km kituoni hakuwabana wenzie na mitraaako yakeDume gani lina matrakoo makubwa vile??? khaaaa ππππ
Mie nina matraaakoo na yeye ana matraaakooo tutaonekana wote mashangazi akwende hukoo π₯΄π₯΄π₯΄
Mi staki nataka nikuite na ya kwako halisi πππUkiamua niite She / he miye sina kwere na yeyote dearest.
Mpaka tupate uhakika wa Loveness yule ukiupata tuu nijulishe nikupe yangu.Mi staki nataka nikuite na ya kwako halisi πππ
kie kie kie.kie πππ kwani alipelekwa kituoni?π€£π€£π€£π€£π€£ sijui km kituoni hakuwabana wenzie na mitraaako yake
Kwa kweli..wafungue ya kukumbishiana walivyokuwa wanazagamuliwa na wahindi .....Msidandie thread fungueni ya kwenu