Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Huo ni upumbavu, huwezi kumchapa mtoto kiasi hichi!

Ndio maana nyie mliochapwa sana kipindi kile mmegeuka kuwa mazombi, kila kitu ASANTE MKUU! Ukiambiwa andamana hutaki, UNAJIFICHA UVUNGUNI.

Tuna taifa la mazombi sana, kama wewe! MIJITU MIZOMBI kazi kunyanduana tu na kubakana.
 
Zombie mwenyewe....halafu kwenye post haijasema mtoto kachapwa kiasi gani uache kukurupuka.... wewe ambaye hujachapwa umelisaidia nini taifa lako labda sisi tuliochapwa tuanze kujifunza kutoka kwako
 
Zombie mwenyewe....halafu kwenye post haijasema mtoto kachapwa kiasi gani uache kukurupuka.... wewe ambaye hujachapwa umelisaidia nini taifa lako labda sisi tuliochapwa tuanze kujifunza kutoka kwako
Tena ningekuwa karibu yako ningekutandika bakora nyingi, maana unapenda sana kubamizwa.

Kichwa chako kimelemaa kwa bakora, unataka kutuharibia na watoto wetu! JINGA KABISA!

Mitoto inachapwa hovyo inageuka kuwa mazombi, eti ndo maadili!! Aweeeeh, siku umchape mwanangu nakunyuka mpaka unatoroka shule unaenda kujibanza machakani.
 
Sasa mwanafunzi alikuwa haumwi kwann mwalimu achague mwingine wa kufanya usafi?
Hapo tayari mzazi amemtengenezea mtoto mazingira ya kukataliwa unadhani nani atamgusa tena huyo mtoto? Na nikuambie tu mzazi hawezi kumfundisha mwanae kila kitu....80% ya maarifa mtoto anayapata shuleni sio kwa mzazi
Soma hii comment yangu hapa 👆🏾mwalimu wangu alitumia hikma, kuwa mwalimu sio kama mkamilifu alitakiwa achague mwengine. Kama mwengine akikataa siku inayofata kutafanyika usafi au hio classroom’s ilikuwa inanuka?.
 
Chako ndyo kimejaa ujinga ndyo maana unajita bichwa komwe... halafu mimi sio mwalimu...na hata hivyo we mtoto huna kwahiyo nyamaza wenye watoto waongee
 
Kuazi
 
Kwa hiyo mnawauzisha watoto wetu visheti, mihogo, vitumbua na maandazi kwa kigezo cha self reliance kweli mnastahili kupigwa.
Ha ha haaa
Hiyo siyo sawa kuwageuza wachuuzi watoto wa watu.
BTW, Mimi siyo mwalimu.
 
Kama huujui ualimu wa Sasa ni bora unyamaze tu.Waulize walio kwenye field wakueleze.Mtoto anapigwa fimbo tatu na mwalimu matakoni,anaenda nyumbani mama anamkanda na maji ya moto,yanafumka malengelenge ya hatari,mtoto analetwa shuleni kwa mwalimu kamuumiza mtoto.Ualimu usikue tu
 
Ukute kapigwa mifimbo mkono anarudi nyumbani mkono umevimba.Unategemea mtu akuelewe yaani lazima nikutoe ngeu
 
Unaonekana ulishawahi kuchukuliwa demu wako na mwalimu ww
 
Wewe mpuuzi ndo mnaochangia ongezeko la watoto wasio na maadili.
 
Mfundishe mwenyewe nyumbani kwako Sasa kama ukitaka kumlinda vzr.Akija shule tutamtuma,akikataa tutampa dozi
 
Ila kwanini mara nyingi waalimu ndo wanaopigwa? Ni mara chache kusikia mwalimu kamtwanga mzazi. Kuna mara moja niliona clip mkuu wa shule akimtandika viboko mzazi feki aliyeletwa na mwanafunzi aliyeambiwa akamlete mzazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…