BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Huo ni upumbavu, huwezi kumchapa mtoto kiasi hichi!Hivi hawa wazazi walikuwa wapi Enzi zile tunapigwa kama mipira š¤£
Usipodeki unachapwa
Usipoleta kidumu unachapwa
Usipomwagilia maua unachapwa
Usipofanya hesabu unachapwa ukifanya ukakosa unachapwa
Ukirudi nyumbani mchafu unachapwa
Yaani kwa siku kuondoka shule na fimbo 20 ilikuwa kawaida sana...kwani siku hizi Kuna nini??
Ndio maana nyie mliochapwa sana kipindi kile mmegeuka kuwa mazombi, kila kitu ASANTE MKUU! Ukiambiwa andamana hutaki, UNAJIFICHA UVUNGUNI.
Tuna taifa la mazombi sana, kama wewe! MIJITU MIZOMBI kazi kunyanduana tu na kubakana.