Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mimi situmiagi nguvu bana. Nina flip pocket knife. Huku chugga tunaita paru au dagger. Ni vya kwenye mapaja tu hatuui.Ukimleta shule viboko anavyo, hutaki achapwe kaa nae nyumbani umfundishe, box la chaki buku mbili tu red pen mia mbili...
Huyu mzazi angekutana na mimi angechakaa😁 nawe ukija ntakuchakaza vilevile
Ngoja nkupe location uje na hicho kisu chako uone utakavoijiwa na ambulanceMimi situmiagi nguvu bana. Nina flip pocket knife. Huku chugga tunaita paru au dagger. Ni vya kwenye mapaja tu hatuui.
Niambie jina la shule nilete kidi hapo alafu nikuweke wewe guardianNgoja nkupe location uje na hicho kisu chako uone utakavoijiwa na ambulance
Miaka ya nyuma wazazi waliwaheshimu sana walimuKabisa aseee imekua too much!!
Unakuta mzazi mwingine anakuja shule anakufosi umsikilize muda huohuo anotaka yeye anakwambia unamchekewesha ana shughuli za kufanya!😁😁😁!
Kmamakeee usintafutie matatizo rudi kafanye hizo shughuli zako shenztypeee!!
Hapa sasa kwenye kudeki walimu wanawaonea.You can't be serious weeee!!
Usafi wa mazingira ya shule unafanywa na wanafunzi Ndiomana kuna ratiba za usafi kabisa acheni mambo ya ajabu!
Umeambiwa kuwa huyo Mwanafunzi alikuwa anaumwa?.Nilipokuwa shule ilitokea kama hivi nilikuwa naumwa na ilikuwa siku yangu ya usafi. Mwalimu alimchagua mwanafunzi mwengine afanye usafi. Halafu siku ya yule mwanafunzi nilifanya mimi na siku yangu kufika nilifanya tena. Kwanini huyu mwalimu hakutumia njia kama ya mwalimu wangu?.
Tatizo lenu mnaishi mazingira wasioishi walimu...cha kushangaa hapo ni nini?Tatizo mwandishi ameamua kuchagua kuwa upande wa waalimu bila hata kutumia akili, hivi kweli mtoto achapwe fimbo moja halafu mzazi aje kufanya fujo shuleni?
Fanyeni uchunguzi kidogo kabla ya kuleta habari kwenye public.
-inawezekana mtoto ana matatizo ya afya ndio maana alikataa kudeki, so mwalimu kabla ya kukurupuka kutumia mafimbo angemshirikisha mzazi(siku hizi simu zipo kila mahali).
-semeni ukweli alimchapa vipi na alitoa maneno gani wakati anamchapa au wakati mzazi alipokuja shuleni.
UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE MZAZI.
Mpigamiti secondary 😁 mlete mwanao aje na kiduku hapa zinaanza fimbo afu namnyoa afu nakuita sasaNiambie jina la shule nilete kidi hapo alafu nikuweke wewe guardian
wala usingeninyoosha. na ungeninyoosha wala isingekufanya usiwe mwalimu, ungebaki vilevile na hasira zako za maisha. waalimu wenzio walioninyoosha tukikutana nao wamechoka wanaomba hadi pesa. na mimi nawapa tu ili kiwaume zaidi. kuna mmoja alinipiga, mwalimu wa hesabu hadi nikachukia hesabu, nimekuwa mwanasheria, kutwa kupiga simu kunisalimia walau apokee salamu tu toka kwangu. waalimu mngejua kile wanafunzi wenu wamebeba na vile watakavyokuwa, mngewaheshimu ili pengine kama hawatawasaidia ninyi waje wasaidie watoto wenu. ukimtesa mtu akiwa mtoto/mdogo, huwa haiondoki kichwani maisha yake yote. ndio maana mnadharaulika.ungekuja kwenye shule yangu ningekunyoosha
You are among of the stupid teacherAlimkuta mzembemzembe....tungegawana majengo au tungeenda jengo moja
Wangu ana afro kama avatar yanguMpigamiti secondary 😁 mlete mwanao aje na kiduku hapa zinaanza fimbo afu namnyoa afu nakuita sasa
Mpeleke huko kwenye ada za milion 20 haguswi, ila huku kwenye bure na remidial za sh 200 viboko haviepukiki 😁Wangu ana afro kama avatar yangu
Asee huko haji. Ataenda tu Kennedy House niliposoma mimi.Mpeleke huko kwenye ada za milion 20 haguswi, ila huku kwenye bure na remidial za sh 200 viboko haviepukiki 😁
[emoji3581][emoji3581][emoji3581]Tatizo mwandishi ameamua kuchagua kuwa upande wa waalimu bila hata kutumia akili, hivi kweli mtoto achapwe fimbo moja halafu mzazi aje kufanya fujo shuleni?
Fanyeni uchunguzi kidogo kabla ya kuleta habari kwenye public.
- Inawezekana mtoto ana matatizo ya afya ndio maana alikataa kudeki, so mwalimu kabla ya kukurupuka kutumia mafimbo angemshirikisha mzazi(siku hizi simu zipo kila mahali).
- Semeni ukweli alimchapa vipi na alitoa maneno gani wakati anamchapa au wakati mzazi alipokuja shuleni.
UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE MZAZI.
UnatombwaWewe ni Mpumbavu x 10, Nani kasema mzazi alipe hela? Mwalimu ndiye anatakiwa kulipa wafanyakazi wa usafi kwa kufanya usafi eneo lao la lazi, wakatwe kwenye mishahara yao.
Kawaambie machoko wenzako wakatwe mshahara wao kulipia hayo mandondocha yenu mnayozaa ovyo kama panya bila kuwa na namna ya kulea na kuhudumia mahitajiWewe ni Mpumbavu x 10, Nani kasema mzazi alipe hela? Mwalimu ndiye anatakiwa kulipa wafanyakazi wa usafi kwa kufanya usafi eneo lao la lazi, wakatwe kwenye mishahara yao.
Mkoloni bibi yako ,kuwa na adabu unapojibizana na mimi wewe kumahWewe usituletee mambo Yako ya kikoloni hapa, hicho kizazi chako kimelisaidia Nini taifa hili?? Kizazi chako ndio kizazi cho hovyo kilicholiingiza taifa kwenye umaskini wa kutupwa! Kizazi Cha kinafiki tumbo mbele.