Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Ukimleta shule viboko anavyo, hutaki achapwe kaa nae nyumbani umfundishe, box la chaki buku mbili tu red pen mia mbili...

Huyu mzazi angekutana na mimi angechakaa😁 nawe ukija ntakuchakaza vilevile
Mimi situmiagi nguvu bana. Nina flip pocket knife. Huku chugga tunaita paru au dagger. Ni vya kwenye mapaja tu hatuui.
 
Kabisa aseee imekua too much!!
Unakuta mzazi mwingine anakuja shule anakufosi umsikilize muda huohuo anotaka yeye anakwambia unamchekewesha ana shughuli za kufanya!😁😁😁!

Kmamakeee usintafutie matatizo rudi kafanye hizo shughuli zako shenztypeee!!
Miaka ya nyuma wazazi waliwaheshimu sana walimu
Na hadi sasa huko vijijini,Mwalimu ni mtu wa kwanza anayeheshimika sana kuliko hata daktari.
 
You can't be serious weeee!!

Usafi wa mazingira ya shule unafanywa na wanafunzi Ndiomana kuna ratiba za usafi kabisa acheni mambo ya ajabu!
Hapa sasa kwenye kudeki walimu wanawaonea.
Mwalimu hawezi kufanya usafi,ni dharau ya hali ya juu kwa Mwalimu.

Solution ni kuajiri wafanya usafi..
Hii inawezekana kabisa.

Nashangaa Kuna watu wanasema serikali haina uwezo!
Mbona hospital kuna wafanya usafi..

Yaani hela za kununua v8 zipo ila za kuajiri wafanya usafi mashuleni hazipo..huu ni upumbavu.
Ngekuwa Mimi ndio kiongozi
Zile vi8 za wabunge zote napiga bei
Pesa napeleka shuleni ikaajiri wafanya usafi na kuwaongezea walimu mshahara.

Wabunge Kila mtu akanunue gari lake alitaka.
Mbona Mwalimu pamoja na ufinyu wa mshahara wake,anajinunulia gari lake la kwenda kuitumikia serikali..
Iweje mbunge ashindwe.

System mbovu imeanzia kwenye mifumo.
Mifumo haiwathamini wanafunzi.
 
Nilipokuwa shule ilitokea kama hivi nilikuwa naumwa na ilikuwa siku yangu ya usafi. Mwalimu alimchagua mwanafunzi mwengine afanye usafi. Halafu siku ya yule mwanafunzi nilifanya mimi na siku yangu kufika nilifanya tena. Kwanini huyu mwalimu hakutumia njia kama ya mwalimu wangu?.
Umeambiwa kuwa huyo Mwanafunzi alikuwa anaumwa?.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Tatizo mwandishi ameamua kuchagua kuwa upande wa waalimu bila hata kutumia akili, hivi kweli mtoto achapwe fimbo moja halafu mzazi aje kufanya fujo shuleni?

Fanyeni uchunguzi kidogo kabla ya kuleta habari kwenye public.
-inawezekana mtoto ana matatizo ya afya ndio maana alikataa kudeki, so mwalimu kabla ya kukurupuka kutumia mafimbo angemshirikisha mzazi(siku hizi simu zipo kila mahali).

-semeni ukweli alimchapa vipi na alitoa maneno gani wakati anamchapa au wakati mzazi alipokuja shuleni.

UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE MZAZI.
Tatizo lenu mnaishi mazingira wasioishi walimu...cha kushangaa hapo ni nini?

Kwamba hakuna Wazazi wenye akili fyatu kama huyu Mzazi?...Acha kuchapwa, kuna walimu wamekula ngumi za kutosha kisa kumwambia mtoto ni mjinga
 
ungekuja kwenye shule yangu ningekunyoosha
wala usingeninyoosha. na ungeninyoosha wala isingekufanya usiwe mwalimu, ungebaki vilevile na hasira zako za maisha. waalimu wenzio walioninyoosha tukikutana nao wamechoka wanaomba hadi pesa. na mimi nawapa tu ili kiwaume zaidi. kuna mmoja alinipiga, mwalimu wa hesabu hadi nikachukia hesabu, nimekuwa mwanasheria, kutwa kupiga simu kunisalimia walau apokee salamu tu toka kwangu. waalimu mngejua kile wanafunzi wenu wamebeba na vile watakavyokuwa, mngewaheshimu ili pengine kama hawatawasaidia ninyi waje wasaidie watoto wenu. ukimtesa mtu akiwa mtoto/mdogo, huwa haiondoki kichwani maisha yake yote. ndio maana mnadharaulika.
 
Wapo walimu akiwa na stress zake anaenda kuzimaliza kwa watoto, fimbo moja haiwez kumtoa mtu nyumbani na kumshikisha adabu kwa style hiyo
 
Tatizo mwandishi ameamua kuchagua kuwa upande wa waalimu bila hata kutumia akili, hivi kweli mtoto achapwe fimbo moja halafu mzazi aje kufanya fujo shuleni?

Fanyeni uchunguzi kidogo kabla ya kuleta habari kwenye public.

- Inawezekana mtoto ana matatizo ya afya ndio maana alikataa kudeki, so mwalimu kabla ya kukurupuka kutumia mafimbo angemshirikisha mzazi(siku hizi simu zipo kila mahali).

- Semeni ukweli alimchapa vipi na alitoa maneno gani wakati anamchapa au wakati mzazi alipokuja shuleni.

UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE MZAZI.
[emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Wewe ni Mpumbavu x 10, Nani kasema mzazi alipe hela? Mwalimu ndiye anatakiwa kulipa wafanyakazi wa usafi kwa kufanya usafi eneo lao la lazi, wakatwe kwenye mishahara yao.
Kawaambie machoko wenzako wakatwe mshahara wao kulipia hayo mandondocha yenu mnayozaa ovyo kama panya bila kuwa na namna ya kulea na kuhudumia mahitaji
Mbwa we
 
Wewe usituletee mambo Yako ya kikoloni hapa, hicho kizazi chako kimelisaidia Nini taifa hili?? Kizazi chako ndio kizazi cho hovyo kilicholiingiza taifa kwenye umaskini wa kutupwa! Kizazi Cha kinafiki tumbo mbele.
Mkoloni bibi yako ,kuwa na adabu unapojibizana na mimi wewe kumah
Mimi usidhani ni choko na Machangu doa wenzako mnaojibizana huko
Mbwa wewe
 
Back
Top Bottom