You can't be serious weeee!!
Usafi wa mazingira ya shule unafanywa na wanafunzi Ndiomana kuna ratiba za usafi kabisa acheni mambo ya ajabu!
Hapa sasa kwenye kudeki walimu wanawaonea.
Mwalimu hawezi kufanya usafi,ni dharau ya hali ya juu kwa Mwalimu.
Solution ni kuajiri wafanya usafi..
Hii inawezekana kabisa.
Nashangaa Kuna watu wanasema serikali haina uwezo!
Mbona hospital kuna wafanya usafi..
Yaani hela za kununua v8 zipo ila za kuajiri wafanya usafi mashuleni hazipo..huu ni upumbavu.
Ngekuwa Mimi ndio kiongozi
Zile vi8 za wabunge zote napiga bei
Pesa napeleka shuleni ikaajiri wafanya usafi na kuwaongezea walimu mshahara.
Wabunge Kila mtu akanunue gari lake alitaka.
Mbona Mwalimu pamoja na ufinyu wa mshahara wake,anajinunulia gari lake la kwenda kuitumikia serikali..
Iweje mbunge ashindwe.
System mbovu imeanzia kwenye mifumo.
Mifumo haiwathamini wanafunzi.