Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaripoti ukiwa wapi?Ni manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi
Nyumba zimechanganyikana na mashamba
Iendelee tu kuwa manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na kahama
Nani kasema jangwa?Aliekuambia mahindi yanafanya kutokuwa jiji ni nani..?? Hii mind set ya mji kuwa jangwa ifike mahali ife mimea inafaida kushinda hata hayo majiji mnayokimbilia!.
Basi endelea kusikiliza ushauri wa madaktari na utumie dawa vizuri. Huo ugonjwa unatibika...Kcmc
Usiite mimea uchafu acha ujinga wewe,Kama manispaa ya jiji imeshindwa kudhibiti uchafu walalamikie wao na sio hiyo mimea maana mimea inaweza kuwepo na usafi ukawepo.Nani kasema jangwa?
Ushaona jiji gani katikati ya jiji kuna mashamba ya mahindi?
Moja uchafu
Mbili makazi ya wezi
Tatu makazi ya wadudu na wanyama
Akili yako ipo chiniKumbe ni manispaa!!!, sio wilaya!!! Hebu fanya research vizuri kama kweli ni manispaa. Yani kimji kakipumbavu sana, hakana maendeleo, kameja walevi.
Ukiitoa GEITA ambayo ni mkoa.
Kahama na Simiyu zimeendelea,,,Moshi cjui tumlinganishe na nani? Labda Maswa au Nzega
Sahihi 100%Ni manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi
Nyumba zimechanganyikana na mashamba
Iendelee tu kuwa manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na kahama
Acha Uongo weweNi manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi
Nyumba zimechanganyikana na mashamba
Iendelee tu kuwa manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na kahama
Ungeeleza eneo gani pale mjini kati lina mahindi jombaa...Nani kasema jangwa?
Ushaona jiji gani katikati ya jiji kuna mashamba ya mahindi?
Moja uchafu
Mbili makazi ya wezi
Tatu makazi ya wadudu na wanyama
Duuh! Kumbe unaumwa?Kcmc
Wasukuma mna tabu sanaKumbe ni manispaa!!!, sio wilaya!!! Hebu fanya research vizuri kama kweli ni manispaa. Yani kimji kakipumbavu sana, hakana maendeleo, kameja walevi.
Ukiitoa GEITA ambayo ni mkoa.
Kahama na Simiyu zimeendelea,,,Moshi cjui tumlinganishe na nani? Labda Maswa au Nzega