uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Mkuu wasukuma hawapatani na mimea kabisa.Usiite mimea uchafu acha ujinga wewe,Kama manispaa ya jiji imeshindwa kudhibiti uchafu walalamikie wao na sio hiyo mimea maana mimea inaweza kuwepo na usafi ukawepo.
Pili ulinzi ni juu ya jiji mkishindwa kudhibiti wezi hiyo ni juu yenu kwani kamati za ulinzi hazipo..?
Hivi mkuu unaelewa hata mimea inafaida gani au unacharanga tu maandishi hapa..?
Wadudu na wanyama hawana makosa kuwepo kwenye mazingira usijifanye wewe unaakili kushinda hayo mazingira wakati ndo yanakulea yakiwa yanawadudu na wanyama nawewe ukiwa ni mnyama mmoja wapo isipokuwa umejawa ujinga tu.
Wao miti tu ni uchafu!!!
Waje hapa wabishe