Moshi: Padri wa Kanisa Katoliki alaani walioiba sadaka kanisani

Moshi: Padri wa Kanisa Katoliki alaani walioiba sadaka kanisani

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Paroko wa Parokia ya Narumu, Kata ya Machame Mashariki, Padri Thomas Chuwa amelaani vikali katika ibada ya Misa Takatifu kitendo kilichofanyika katika Ibada ya Jumapili iliyopita ambapo watu / mtu wasiojulikana wameiba kapu la sadaka kanisani.

Sadaka hizo zilikuwa ni majitoleo ya shukrani, vipaji pamoja na sadaka ya Misa Takatifu katika Ibada ya Misa ya kwanza ya Jumapili iliyopita.

Padri Chuwa amewaasa waamuni wa kanisa hilo kusali Sala Maalum kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya watu/mtu huyo aliyeiba sadaka hizo na kuwa kitendo hicho kilichofanyika kanisani hapo ni kibaya sana na anamkabidhi Mungu.
 
Sadaka ya kanisani asilimia kubwa matumizi yake ni kuhudumia mahitaji ya kanisa kwa wiki husika pamoja na watumishi wa kanisa.

Kwa sababu kanisa ni kazi za Mungu hivyo hao walioiba wamesababisha kazi za Mungu kufanyika kwa ugumu na pengine kukwama.

Kwa vile Mungu ni mwenye huruma na upendo kwa yoyote mbaya anae acha na kutubu ubaya wake, na vile vile Mungu ni mwenye hasira na mkali sana kwa wabaya wasio tubu, kwa hiyo huyo mtu alieiba akitafakari maana maisha sio marefu sana yafaa kujilinda dhidi ya hasira ya Mungu.
 
Kule geita wameingia na kuharibu vitu vya ndani ya kanisa, haya sasa moshi nako wameiba sadaka. Swali la kuuliza ni kina nani hao wanaoingia makanisani na kufanya uhuni huo? Kama si wenyewe wanayoyajua mazingira yao?

Kanisa katoliki ni taasisi kubwa na ina mali nyingi za thamani hivyo kulazimika kuwa na ulinzi mkali. Ulinzi wote huo mkali kibaka au jambazi ataingilia wapi?

Anyway kama hali imefikia mpaka watu wanaiba makanisani bila hofu ya Mungu basi maadili ya kiroho yameporomoka kwa kiwango cha kutisha
 
Paroko wa parokia ya Narumu kata ya machame mashariki padri Thomas chuwa amelaani vikali leo katika ibada ya Misa takatifu kitendo kilichofanyika ibada ya jumapili iliyopita ambapo watu/ mtu wasiojulikana wameiba kapu la sadaka kanisani.

Sadaka hiyo ilikuwa ni majitoleo ya shukrani, vipaji pamoja na sadaka ya Misa takatifu, katika ibada ya Misa ya kwanza ya jumapili iliyopita.

Padre chuwa amewaasa waamuni wa kanisa hilo kusali Sala maalum kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya watu/mtu huyo aliyeiba sadaka hizo na kuwa kitendo hicho kilichofanyika kanisani hapo ni kibaya sana na anamkabidhi Mungu.
Watakuwa ni ndugu zake na Mbowe huko Machame

USSR
 
Kule geita wameingia na kuharibu vitu vya ndani ya kanisa, haya sasa moshi nako wameiba sadaka. Swali la kuuliza ni kina nani hao wanaoingia makanisani na kufanya uhuni huo? Kama si wenyewe wanayoyajua mazingira yao? Kanisa katoliki ni taasisi kubwa na ina mali nyingi za thamani hivyo kulazimika kuwa na ulinzi mkali. Ulinzi wote huo mkali kibaka au jambazi ataingilia wapi? Anyway kama hali imefikia mpaka watu wanaiba makanisani bila hofu ya Mungu basi maadili ya kiroho yameporomoka kwa kiwango cha kutisha
Akina Shaban Juma
 
Padre chuwa amewaasa waamuni wa kanisa hilo kusali Sala maalum kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya watu/mtu huyo aliyeiba sadaka hizo na kuwa kitendo hicho kilichofanyika kanisani hapo ni kibaya sana na anamkabidhi Mungu.
Kwa hali hii na ile ya Geita, basi makanisa yote nchini yafungwe CCTV tuendako hivi sasa siko
 
Akina Shaban Juma
Shabani analijua kapu la sadaka linapigiliwa wapi kanisani?? Hao wenyewe humo kanisani kuna mwamba mmoja kalibenjukia kapu la sadaka 😃😃😃
Sio ya kuchekea ila kuna watu wengine wamepinda kweli,,
 
Shabani analijua kapu la sadaka linapigiliwa wapi kanisani?? Hao wenyewe humo kanisani kuna mwamba mmoja kalibenjukia kapu la sadaka [emoji2][emoji2][emoji2]
Sio ya kuchekea ila kuna watu wengine wamepinda kweli,,
[emoji28][emoji28][emoji28] kuna Raia wamepinda
 
Kule geita wameingia na kuharibu vitu vya ndani ya kanisa, haya sasa moshi nako wameiba sadaka. Swali la kuuliza ni kina nani hao wanaoingia makanisani na kufanya uhuni huo? Kama si wenyewe wanayoyajua mazingira yao?

Kanisa katoliki ni taasisi kubwa na ina mali nyingi za thamani hivyo kulazimika kuwa na ulinzi mkali. Ulinzi wote huo mkali kibaka au jambazi ataingilia wapi?

Anyway kama hali imefikia mpaka watu wanaiba makanisani bila hofu ya Mungu basi maadili ya kiroho yameporomoka kwa kiwango cha kutisha
expand...
Hh Leo maji yamezidi unga.
Ule usemi wa mungu wetu anajitetea mwenyewe umeepa na kapu la sadaka.

Ushauri wangu naona hata huo Ulinzi mkali usiwepo.
Ulinzi wa kazi gani !? Mungu si alinde mali zake mwenyewe !
 
Back
Top Bottom