Moshi: Padri wa Kanisa Katoliki alaani walioiba sadaka kanisani

Kuna miaka fulani kuna mwamba alisepa na sadaka hapo St Peters

Ova
Walifunga makamera, wakambaini kumbe mlinzi wa pale, kajibadilisha kuvaa miwigi Kama Dem, Ila walimshika.
 
Mwizi akikamatwa apelekwe Mombasa akachukue pesa za bure maana hataki kutoka jasho lake.
 
Stress Challenger kapita kapu la sadaka huku akiamini kuwa Yesu kafa kwa ajili ya dhambi zake hivyo anajiandaa kupitia kilabuni akalewe kwa hizo pesa.
 
Paroko wa Parokia ya Narumu, Kata ya Machame Mashariki, Padri Thomas Chuwa amelaani vikali katika ibada ya Misa Takatifu kitendo kilichofanyika katika Ibada ya Jumapili iliyopita ambapo watu / mtu wasiojulikana wameiba kapu la sadaka kanisani.

Sadaka hizo zilikuwa ni majitoleo ya shukrani, vipaji pamoja na sadaka ya Misa Takatifu katika Ibada ya Misa ya kwanza ya Jumapili iliyopita.

Padri Chuwa amewaasa waamuni wa kanisa hilo kusali Sala Maalum kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya watu/mtu huyo aliyeiba sadaka hizo na kuwa kitendo hicho kilichofanyika kanisani hapo ni kibaya sana na anamkabidhi Mungu.
Kwa nini wasishukuru mungu tu, maana kusoma ibada maalum ya siku 3,ni kinyume na misamaha ambayo wakristo hupaswa kuwa nayo!
 
Paroko wa Parokia ya Narumu, Kata ya Machame Mashariki, Padri Thomas Chuwa amelaani vikali katika ibada ya Misa Takatifu kitendo kilichofanyika katika Ibada ya Jumapili iliyopita ambapo watu / mtu wasiojulikana wameiba kapu la sadaka kanisani.

Sadaka hizo zilikuwa ni majitoleo ya shukrani, vipaji pamoja na sadaka ya Misa Takatifu katika Ibada ya Misa ya kwanza ya Jumapili iliyopita.

Padri Chuwa amewaasa waamuni wa kanisa hilo kusali Sala Maalum kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya watu/mtu huyo aliyeiba sadaka hizo na kuwa kitendo hicho kilichofanyika kanisani hapo ni kibaya sana na anamkabidhi Mungu.
Kwahiyo akilaani ndiyo watu watarudisha? Aende zake huko Juha mkubwa
 
Paroko wa Parokia ya Narumu, Kata ya Machame Mashariki, Padri Thomas Chuwa amelaani vikali katika ibada ya Misa Takatifu kitendo kilichofanyika katika Ibada ya Jumapili iliyopita ambapo watu / mtu wasiojulikana wameiba kapu la sadaka kanisani.

Sadaka hizo zilikuwa ni majitoleo ya shukrani, vipaji pamoja na sadaka ya Misa Takatifu katika Ibada ya Misa ya kwanza ya Jumapili iliyopita.

Padri Chuwa amewaasa waamuni wa kanisa hilo kusali Sala Maalum kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya watu/mtu huyo aliyeiba sadaka hizo na kuwa kitendo hicho kilichofanyika kanisani hapo ni kibaya sana na anamkabidhi Mungu.
Kuiba kanisani ni kuiibia jamii.

Mungu awasamehe hao wezi
 
Kwenye heading unasema mchaga kwenye content inasema wasiojulikana! Acheni kuwa biased na wachaga nyie mbwa.
Kuna wakati fulani watu walipiga hela kanisa la mlima wa moto,ila mch mama akapotezea tu

Ova
 
Back
Top Bottom