Watakuwa ni ndugu zake na Mbowe huko MachameParoko wa parokia ya Narumu kata ya machame mashariki padri Thomas chuwa amelaani vikali leo katika ibada ya Misa takatifu kitendo kilichofanyika ibada ya jumapili iliyopita ambapo watu/ mtu wasiojulikana wameiba kapu la sadaka kanisani.
Sadaka hiyo ilikuwa ni majitoleo ya shukrani, vipaji pamoja na sadaka ya Misa takatifu, katika ibada ya Misa ya kwanza ya jumapili iliyopita.
Padre chuwa amewaasa waamuni wa kanisa hilo kusali Sala maalum kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya watu/mtu huyo aliyeiba sadaka hizo na kuwa kitendo hicho kilichofanyika kanisani hapo ni kibaya sana na anamkabidhi Mungu.
Akina Shaban JumaKule geita wameingia na kuharibu vitu vya ndani ya kanisa, haya sasa moshi nako wameiba sadaka. Swali la kuuliza ni kina nani hao wanaoingia makanisani na kufanya uhuni huo? Kama si wenyewe wanayoyajua mazingira yao? Kanisa katoliki ni taasisi kubwa na ina mali nyingi za thamani hivyo kulazimika kuwa na ulinzi mkali. Ulinzi wote huo mkali kibaka au jambazi ataingilia wapi? Anyway kama hali imefikia mpaka watu wanaiba makanisani bila hofu ya Mungu basi maadili ya kiroho yameporomoka kwa kiwango cha kutisha
Kwa hali hii na ile ya Geita, basi makanisa yote nchini yafungwe CCTV tuendako hivi sasa sikoPadre chuwa amewaasa waamuni wa kanisa hilo kusali Sala maalum kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya watu/mtu huyo aliyeiba sadaka hizo na kuwa kitendo hicho kilichofanyika kanisani hapo ni kibaya sana na anamkabidhi Mungu.
Kaka acha upuuziWatakuwa ni ndugu zake na mbowe huko Machame
USSR
Shabani analijua kapu la sadaka linapigiliwa wapi kanisani?? Hao wenyewe humo kanisani kuna mwamba mmoja kalibenjukia kapu la sadaka πππAkina Shaban Juma
[emoji28][emoji28][emoji28] kuna Raia wamepindaShabani analijua kapu la sadaka linapigiliwa wapi kanisani?? Hao wenyewe humo kanisani kuna mwamba mmoja kalibenjukia kapu la sadaka [emoji2][emoji2][emoji2]
Sio ya kuchekea ila kuna watu wengine wamepinda kweli,,
Siku zote mpumbavu wa Akili utajua jinsi anayoweza kuongea au kuchangia katika mambo mazito bila kutafakari mada yenyewe.Watakuwa ni ndugu zake na mbowe huko Machame
USSR
Unacheza na kitu inaitwa pesa wewe.Padre aache tu afanye kama ametoa sadaka
Sala maalum kwa siku 3 za nn tena
Kule geita wameingia na kuharibu vitu vya ndani ya kanisa, haya sasa moshi nako wameiba sadaka. Swali la kuuliza ni kina nani hao wanaoingia makanisani na kufanya uhuni huo? Kama si wenyewe wanayoyajua mazingira yao?
Kanisa katoliki ni taasisi kubwa na ina mali nyingi za thamani hivyo kulazimika kuwa na ulinzi mkali. Ulinzi wote huo mkali kibaka au jambazi ataingilia wapi?
Anyway kama hali imefikia mpaka watu wanaiba makanisani bila hofu ya Mungu basi maadili ya kiroho yameporomoka kwa kiwango cha kutisha
Hh Leo maji yamezidi unga.expand...