Moshi: Padri wa Kanisa Katoliki alaani walioiba sadaka kanisani

hakuna shida yeyote waibe tuu sadaka zenyewe niwizi mtupu wanaibia wahumini😅sadaka yavipaji,majitoleo🤣🤣🤣🤣🤣wakiristo wezi kishenzi🤣🤣
 
Novena ya siku tatu
 
Usikute ndo mambo kama ya kipind kile yameanza
 
Hii inanikumbusha kisa cha mwizi msalabani, aliokolewa.
 
hata mimi hilo suala la sala maalamu siungi mkono amuachie Mungu tu
Unamuachiaje bila kusema na yeye! na njia ya kusema na Mungu ili umuachie Ni sala. Tunasema na Mungu kwa njia ya Sala!
Kwahiyo kanisa imetennga siku tatu ili kusema na Mungu Juu ya Jambo Hilo ili kumuachia mapenzi yake yatimizwe! Kwahiyo usipinge usilolijua!
 
Ila wachaga Kwa pesa ni noma sana ,hawana hata hofu ya Mungu kweli?

 
🤪🤪🤪🤪😝😝 mods Wana wivu wameunganisha Uzi 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…