Moshi: Taa za barabarani zinazotumia 'solar' zaibwa

Huyo mkurugenzi anahusika. Awajibishwe na aseme kamuuzia nani.
 
Anajihatarish na nan wakat yeye ndo mwizi
Unaweza kuiba solar na ukashindwa kupambana na vibaka wengine.
Hapo pia ufikirie ndugu na jamaa zake ambao watatembea gizani, usimfikirie yeye mwenyewe.
Fikiria kwa mapana.
 
Na polisi wanalipwa mishahara kazi kuvizia madereva ili wapate rushwa hawa wezi wa sola mbona kuwatega ni kazi ndogo sana, polisi waliopo wanatosha kabisa kuweka mtego akikamatwa mmoja atataja na wengine
 
Naona tatizo siyo Mkurugenzi! Ila hapo anahujumiwa ili aondolewe.
 
Tanzania huwezi kuweka kitu nje kikabaki salama, weka hata ndala zenye tobo zinaenda, hii ndio bongo, na ndio maana wengi hawaendelei.
 
Nauliza tu,

Hivi Kati ya Mkurugenzi (DED) na Mkuu wa wilaya (DC) nani ni MWENYEKITI wa ULINZI na USALAMA wa wilaya...!????

Maana naona its like personal attack
 
Nauliza tu,

Hivi Kati ya Mkurugenzi (DED) na Mkuu wa wilaya (DC) nani ni MWENYEKITI wa ULINZI na USALAMA wa wilaya...!????

Maana naona its like personal attack
Aliyeweka taa barabarani ni nani?
Aliyetakiwa kutoa taarifa ya uharibifu ni nani
DED Yuko busy kukusanya michango ya kifamilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…