Moshi: Taa za barabarani zinazotumia 'solar' zaibwa

Moshi: Taa za barabarani zinazotumia 'solar' zaibwa

Ni afasali kuwa mwisi kuliko kusubaa,testing,testing microphone,one,two,three.
 
Unajua,wizi na homicide( mauaji), it is all based on blah,blah,much nattering,maneno mengi yasiyokuwa na maana.
Maneno yakizidi na wizi unazidi.
 
Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, amelala na kusinzia, sasa wezi wameiba na solar na taa takribani betri 50 na solar panels 30 na taa zimeibiwa na zinaendelea kuibiwa kwenye Barabara ya Nyerere (Nyerere Road) kuelekea kiwanda cha soda cha Bonite.

Hii ni zaidi ya hatari na tukiendelea kukaa kimya watazimaliza, viongozi saidieni kumuondoa mkurugenzi anasimamia watu wanaohujumu miundombinu ya Watanzania.

Uongozi wa mkurugenzi una matatizo makubwa.

Angalieni picha hizi hapa👇

View attachment 2962027
View attachment 2962028
Wadogo wameenda kunywea pombe
 
Nenda uchagani vjijini kabisa ukikuta familia inaishi kwenye nyumba ya nyasi piga picha uilete hapa jukwaani.

Umasikini upo kila mahali Tz, ila mazingira magumu ya umasikini (ufukara) haupo kila mahali.
Nikuoneshe? Hata madarasa hawana
 
Back
Top Bottom