Moshi: Taa za barabarani zinazotumia 'solar' zaibwa

Moshi: Taa za barabarani zinazotumia 'solar' zaibwa

Aisee meku ,..watani zangu mmeiba Hadi taa za barabaran yeleuwiiiiiiii...mwaka huu hamtoboi
 
Nyie si mlisema wachaga wamekimbia kwao, iweje leo unasema wameiba taa za barabarani?

Hizo taa zitakuwa zimebebwa na makabila wakishirikiana na wahindi na waarabu 🧔👩‍🍳
 
Wakutosha kiongozi. Mfano huko kulipoibwa taa Bonite kuna wapare na wasambaa na jamii nyingine za Tanga.

Namna kata za Moshi zilivyokaa ndivyo uenyeji ulivyo pia.
Sema wachaga wengi ni walevi hasa wale waliobaki Moshi hii ndo iyosababisha waibe wakikosa hela ya kulewa
 
Sema wachaga wengi ni walevi hasa wale waliobaki Moshi hii ndo iyosababisha waibe wakikosa hela ya kulewa
Kweli kwenye ulevi hapo tunazingua sana, hapo sikatai.

Ila mlevi wa kukosa hela hana nguvu yakupanda kwenye zile taa na kuiba solar panel.

Huu uizi utakuwa unafanywa na vijana wadogo kiumri wenye nguvu zao, inawezekana wakawa wachaga au kabila lolote lingine. Ni swala la kushughulikiwa na mamlaka tu.
 
Back
Top Bottom