Uchaguzi 2020 Moshi: Tundu Lissu ashindwa kuhutubia baada ya kuchelewa Mkutano wa Kampeni, aahidi kurudi

Kwa mara ya kwanza nitapiga kura mwaka huu na kura yangu itakuwa kwa Lussu jamaa ana sera na dhamira nzuri kwa mstakabali wa nchi yetu na jamaa wa nyali ama kufukuza wanafunzi, wafanyakazi kwa mgongo wa uzalendo
Sikupiga kura wakati wa mamvi!

Sasa lazima nikatimize wajibu wangu kumpigia Rais mwenye kuheshimu na kujali uwepo wa katiba na utawala wa Sheria.
 
Kati ya maeneo ambayo ccm inapingwa sana nchini ni Kilimanjaro. Moshi ndiyo jimbo pekee nchini ambalo ccm hawajawahi kushinda tangu mfumo wa vyama vingi urudishwe nchini. Jimbo la Moshi lilinyakuliwa na wapinzani 1995 na toka wakati huo halijawahi kurudi ccm

Ccm mwaka huu wana mlima wa kupanda huko Kilimanjaro.
 
Wamepoteza pesa bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…