Maoni ya mtanzania wa Kiboroloni Moshi :
Hii inaitwa mahaba kutoka moyoni na akilini hii unawezajikuta saa hizi usiku huu mkeo amekimbilia mkutano usiku huu kwenda kmusikiliza Mh.Tundu Lissu 2020 na kuacha chakula kikiungulia na moto jikoni na gesi mpaka imeisha na wewe unachungulia jikoni unajua mkeo Yupo anapika basi na wewe unaongea kwa sauti kubwa mke wangu Niko chooni unafungua geti unakimbilia mkutano kumsikiliza Tundu lissu ghafla unamuona mkeo wote mnajikuta mmefurahi na furaha imeongezeka kicheko cha furaha unashiñdwa kumwambia mkeo chochote wote mnapenda mabadiliko ya kweli Tundu lissu 2020 √ mpaka CCM na wafanyakazi wanamkubali Tundu lissu hakuna wa kubisha hapa. (Ushuhuda mkutanoni wa wana ndoa hawa)