Uchaguzi 2020 Moshi: Tundu Lissu ashindwa kuhutubia baada ya kuchelewa Mkutano wa Kampeni, aahidi kurudi

Hali ya MATAGA wa CCM waonapo nyuzi kama hizi!
567801.jpg
 
Habari wanaJF!

Baada ya Lissu kuahirisha mkutano Jana Moshi mjini kwa kuchelewa kutoka Rombo baada ya kusimamishwa na wananchi njiani.

Kundi kubwa la watu walimfuata hotel aliyofikia kama ishara ya kuwa na imani nae hadi alipowaomba kwenda kupumzika na bado walionesha hali ya kumlinda anapolala. Chini ni video ikinionesha tukio zima la jana usiku.
CCM Wana hali ngumu
 
1. Tunauchaguzi Mkuu mgumu sana 2020haijawahi kutokea.

2.kampemi na chaguzi unaomulikwa kila kona ya Duniani.

3Upinzani umepata Mgombea Imara kweli kweli tangu tuwe na Mfumo wa vyama vingi 1992 hatujawai kuwa na Mgombea Imara 100 kama Lissu.

4.Tulizoea kuwa na wagombea mapandikizi wengi kwa miaka yote sasa upinzani umepata mgombea mboshi jeuri msomi mjenga hoja asiyekubali kuibiwa wala kushindwa nk nk na chama tawala kimepata mgombea king'ang'anizi na mbabe haswa.

5. Kwa shambulio la lisasi zaidi ya 30 kuvuliwa ubunge na dhuluma nyingi ameamua kuwa na walinzi watakaoweza kumlinda kwa namna yoyote hakuna police yoyote tz mwenye uwezo wa kumgusa ni kuchafua amani ya nchi.

Magufuli aliyataka mwenyewe sita shangaa Lissu akiapishwa asubuhi kabisa.
 
Hali ni tete.

Wasiompenda kaja.
 
Haya mambo buana, yanawahitaji watu wenye mioyo mikubwa, wenye uvumilivu haswaa!

Maana kufuatwa fatwa kote huko, mwisho wa siku unakuja kushindwa, tena sio kushindwa tu, Bali kushindwa zaidi ya kushindwa, Haki ya Nani unaweza kuchukua maamuzi mabaya

wengi wa watu hao wenye mioyo isiyoamini kilichowatokea! Wao huingia kwenye maamuzi mabovu ya kuingiza raia barabarani wakafe Kwa ajiri yao, na hapo sasa mtu hujikuta akinuka damu za watu mpaka kuzimu!
 
Hahah huko Mwanza-Nyamagana Mgombea kupitia CCM analalamika jukwaani anasena Mgombea wa Chadema ubunge anatumia kizizi kuvuta nyomi ya wananchi.

Nimeitafakari kidogo tu hii nikacheka sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....... ndumba kuvuta nyomi hahahahahahahaha
 
Habari wanaJF!

Baada ya Lissu kuahirisha mkutano Jana Moshi mjini kwa kuchelewa kutoka Rombo baada ya kusimamishwa na wananchi njiani.

Kundi kubwa la watu walimfuata hotel aliyofikia kama ishara ya kuwa na imani nae hadi alipowaomba kwenda kupumzika na bado walionesha hali ya kumlinda anapolala. Chini ni video ikinionesha tukio zima la jana usiku.

Hama kweli hili ni tishio kwa ccm.
Vipi pilisi hawakuwavurumisha kwa mabomu ya machuzi kwa kisingizio kuwa ni vibaka?
 
Aisee chadema hebu acheni uongo,hio video ni ya 1979 wkt Mkuu wa majeshi amepokelewa na wananchi alipokua ametoka kumpiga nduli Idd Amin.
Mkuu wa majeshi alienda kumpiga nduni 1979 [emoji28] mkuu History yako ina shida kubwa sana.
 
Hizi video na mapichapicha myatunze ili atakapoapishwa JPM mzikague kura za hao raia wote zilienda wapi.

Ndo mtajua zitendwa mbali nazilongwa mbali.
 
Tunao enda kuchukua mkopo bank tujuane please
255654759291_status_e94d002635b5443bb80c3a00d5cc4ae8.jpg

Pipo yuz tu die ini ze..ine ze rek
 
Back
Top Bottom