Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Huyu mleta mada huwa ananifurahisha sana aiseeJukwaa la utani hili mkuu, so unachombezea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mleta mada huwa ananifurahisha sana aiseeJukwaa la utani hili mkuu, so unachombezea.
Huyu mleta mada huwa ananifurahisha sana aisee
Lazima ucheke hiyo. Ila le mutuz nae ana shida huyu mashati makubwaMleta mada huwa ana vimaneno maneno vya kizushi vya kufurahisha, unapunguza stress kidogo.
Possible kwasababu miaka miwili mitatu iliyopita alikuwa anasheherekea Birthday yake ya 50+yrsIs Le Mutuz that old?
hutaki?ungechelwa kidogo angekuzaa wewe,hahhaaa!!!ndukiiiiiIs Le Mutuz that old?
Duh! Shat linafunika vitz?Akili kubwa
baharia degree holder
ana umri mkubwa kuliko mama yake
shati linafunika vitz
Hajawahi kununua luku
mzee wa mabebez
halafu angefuga na ndevu kabisa....Ila kwa body lake mi naona kama angecopy nyimbo za Rick Ross angefit sana.
Tena Le Mutuz english yake ni ya Kimarekani kabisa, kwa hiyo tutapata ladha ya Kimarekani kwenye Bongofleva.
alikuwa majuu anachukua degree ya tatu....mhh le mutuz alikuwa wapi kuwa msanii wakat anamiaka 30
halafu angefuga na ndevu kabisa....