Moshi unafuka,Diamond amekataa Lemutuz kurudia wimbo wa "tatizo kwetu Mbagala"

Moshi unafuka,Diamond amekataa Lemutuz kurudia wimbo wa "tatizo kwetu Mbagala"

Le Mutuz anataka pakutokea nae azidi kujulikana. Vizuri kama ameamua kuimba, ajitungie zakw au afate wasanii wengine.
 
mhh le mutuz alikuwa wapi kuwa msanii wakat anamiaka 30
 
Hahahahaahaha

Tatizo kwetu DOWNTOWN

Mleta mada fanya umvutie waya tena, afu utuletee mrejesho pengine alikuwa le kupashaz ubongo akashindwa kupokea, ukilinganisha ye king of social media anafahamika na ma bilionea dunia nzima simu yake inakuwa bussy u know...
 
Ila kwa body lake mi naona kama angecopy nyimbo za Rick Ross angefit sana.

Tena Le Mutuz english yake ni ya Kimarekani kabisa, kwa hiyo tutapata ladha ya Kimarekani kwenye Bongofleva.
halafu angefuga na ndevu kabisa....
 
Back
Top Bottom