Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Vipofu wa kiroho wanatangishwa na kila aina ya upepo ....
Ila ole ole ole , mwenye kudhurumu na azidi kudhurumu na mjinga azidi kuibiwa na wavivu wa kuomba waendelee kutafuta mafuta wakakanyage na wao wakanyagwe ....utajiri na mafanikio vipo kwenye neno la Mungu aliye hai lisilo goshiwa...wamezidi tamaa ndio zimewaponza

sent from toyota Allex
 
Punguza pupa faza, soma tena utanielewa
 
Mi nawashangaa sana watu wanawaamini hawa wachumia tumbo mpaka kufikia hatua ya kuwatukuza na wengine wanawaita mitume

Mitume ??? Blood hell sjui wanafikiria nini duuh kuuziwa mpaka mafuta yaani unauziwa baraka ,sjui maombi kwa kiwango cha sadaka

Jiombee mwenyewe ila watu wabishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio yeye tuu kuna tb joshia nae kanisa liliia kuna kibwetere nae aliwasha moto kabisa[emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani hizi imani nyingine tabu tupu
Ndo maana Kagame kawafutilia mbali hawa. Watu hata kazi hawafanyi wanategemea wakanyage mafuta eti watafanikiwa.
 
ukikosa tumaini kbs ndio kinachfatia icho ,utaamin kil unachoambiwà ukifanye..

walazwe pema marehemu ,pole kw wafiwa wote.
 
Nimeshangaa ni wapi manabii wa zamani walitumia hizo mbinu kuwaonyesha watu ukweli.
haya mahubiri ama mkusanyiko ulikuwa na kibali tokea ofisi za wilaya husika.
pia ndugu zangu waerevu na ma role models wetu wa Tanzania na nyie mnalizwa jamani na huku elimu mmeipata tokea 1800+ enzi Dr Livingstone alipokuja na wenzake pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…