Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajanja wapi wengi ni akili ndogo sema Chadema imewaaminisha kuwa wao ni akili kubwa na ni matajiri na wasomi.Mimi nikajua watu wa kaskazini ni wajanja wajanja hivi kumbe nao wameangamia kwa kukosa maarifa[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uchunguzi wa awali lazima ahojiwe!
Punguza pupa faza, soma tena utanielewaHapana mkuu hapo umedanganya. Hivi ulishawahi kusikia hata hawa wanaojiita 'manabii' hata mmoja ni mchaga?
Pamoja na sisi wachaga kusemwa kuwa tunapenda dough na tunajua kuzisaka lakini hatuwezi kutapeli watu kwa mgongo wa dini, pia hatuwezi kutapeliwa kirahisi. Majority ya wachaga ni RC, Lutheran na Muslims. Huko kwa walokole utawakuta wengi ni wa kanda za kusini kusini huko.
Kufa hao watu Moshi haimaanishi ni wachaga kwasababu Moshi hawaishi wachaga tu. Simple logic.
Mi nawashangaa sana watu wanawaamini hawa wachumia tumbo mpaka kufikia hatua ya kuwatukuza na wengine wanawaita mitume@I am Bless: Usiseme kwamba watu wengi wanakurupuka bali jiulize na fanya kuushirikisha vyema ubongo wako.
Iweje mahosptilani wagonjwa ni wengi na kama hawa wanaojiita manabii wanauwezo wa kutibu kwa nini watu waende hospitali badala ya kwenda kwenye haya makanisa?.
Kwa nini watu wahangaike kufanya kazi ilihali wakienda kwa hao mitume wanafanikiwa kupata mkate na kuendeleza familia zao?
Kwa nini watu wahangaike na matatizo ambayo wakipakwa mafuta au maji hayakomi ila inakuwa ni utumwa wa kila leo unataka upate mafuta hayo au maji hayo?
Kwa nini hamtaki kukubali ukweli kwamba hawa sio manabii wa ukweli wameweka mbele maslahi ya wao kuwa na miujiza ambayo ukiifikiria kwa undani zaidi haieleweki?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nop nipo nje hapa nashangaashangaa naperuzi nilikuwa ndan ibada SAA sita na nusu inaisha
Kaua ndiyo. Bila mkutano wake watu wasingekufa. Bila kuwaambia watu wakanyage mafuta,vifo hivyo visingetokea.
Ndo maana Kagame kawafutilia mbali hawa. Watu hata kazi hawafanyi wanategemea wakanyage mafuta eti watafanikiwa.Sio yeye tuu kuna tb joshia nae kanisa liliia kuna kibwetere nae aliwasha moto kabisa[emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani hizi imani nyingine tabu tupu
Kwani wachaga ni wajinga na maskini? Mbona wao wanajinasibu kuwa wamesoma na ni matajiri.Ujinga na umaskini mbaya sana.
KWANI KWENYE MIKUTANO YA INJILI NI KABILA MOJA TU NDIO WANAOENDAGA?Hata uchagani wapo kumbe wajinga? Mbona huwa mnasema humu kuwa wachaga wamesoma sana? Au hawakuelimika? Pole zao!