Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

Tuko tayari makada woote wa ccm na chadema Mh Molemo.
 
Wacha ikae hivyo hivyo Ndugu Zendrano
 
Mama yetu mpendwa akianza kuhutubia mni-tag. Asante mama wa taifa kwa kutufundisha upendo

 
Muda huu ndo mama kashafika huko au alilala huko?
 
Hizi kura za hawa wanachama huwa zinakwendaga wapi?!.

Ni ulikuwa ngome enzi zile, sasa Chadema haina tena mbunge hata mmoja!, hii ni ngome gani?.
P
Wewe mwenyewe unafahamu ni kwanini hawana Mbunge hata mmoja.
 
I'm sure Mbowe anaenda kutamgaza chama kuwasamehe wale wabunge walio kengeuka.
Kisha atamponda sana Rais wa awamu iliyopita na Spika, alafu atamalizia kumsifia mama na kisha kutangaza kwamba siasa za chuki zimekwisha.
hao mtawasamehe uvccm.
 
Hakuna msamaha kwa hao covid-19, kama walitaka msamaha wao ndio walipaswa kuwa wa kwanza kuitisha press na kujutia makosa yao mbele ya kadamnasi.

Nje ya hapo hakuna msamaha wa hivyo.
na huo ndio ukweli na hatutawasamehe kamwe labda waende uvccm kusamehewa.
 
Msije kutuambia mme wasamehe covid 19. Hawa ni wezi, wa kuaminika. Msimamo wa chama uendelee kubaki kuwa hamtambui ubunge wao.
 
Hizi kura za hawa wanachama huwa zinakwendaga wapi?!.

Ni ulikuwa ngome enzi zile, sasa Chadema haina tena mbunge hata mmoja!, hii ni ngome gani?.
P
Sitakujibu maana unauliza kwa kunijaribu

Kwa akili yako ya kawaida tu kulikuwa na uchaguzi 2020? Au unazungumzia uharamia wa Rafiki yako aliyetangulia mbele ya haki?
 
Video wamama wa chadema wakiwa na shangwe siku ya wanawake duniani
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…