TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kibanga Ampiga Mkoloni mtu wako huyu huku....TISs tupo kwaajil yenu mnaocoment pumba
Ndo maana maendeleo ya inchi duni mno . mmechagua Ku deal na mambo yasiyo ya msingi. Mmeacha mambo ya msingiTISs tupo kwaajil yenu mnaocoment pumba
Yaani taifa teule halina kiwanda Cha testing kits mpaka wanatumia mossad kwenda kuingiza kimagendo....
Kule italy nduguzo wanakufa Kama utitiri
Kibanga Ampiga Mkoloni mtu wako huyu huku....
Hili nimelijua kwa kumsikia mwenyewe CinC, akizungumzia jinsi wanavyo trap simu za watu.
msikilize mwenyewe
P.
Maana yangu ilikuwa ni kwamba mfumo wao wa kiutendaji, haupo tofauti sana na hapa kwetu kwani wao ( Mossad) wapo chini ya Ofisi ya Waziri mkuu wa Israel.