Mossad delivers 100,000 coronavirus test kits to Israel overnight

Mossad delivers 100,000 coronavirus test kits to Israel overnight

Ulijuaje kama wanadukua simu za watu, ushindwe kujua mengine au kuna sehemu yoyote wame publish TISS kwamba wanadukua simu za watu?
Hili nimelijua kwa kumsikia mwenyewe CinC, akizungumzia jinsi wanavyo trap simu za watu.
msikilize mwenyewe

P.
 
Msidhihaki taasisi muhimu/nyeti kama hii TISS jamani. Hii taasisi haina chama na ina wazalendo vindakindaki. Huwezi kuwa katika hii taasisi ikiwa hauna uzalendo. They are doing a great job like never before and they are working day and night to intelligently secure the country. Mzizodoe. Naomba kuwasilisha.
Haha haha du
 
Labda kufukuzana na chadema. Kwahilo nakubaliana nawe
 
Kulalamikia wengine Sisi Africa ndio sifa yetu, ukiulizwa wewe mwenyewe Kwa elimu yako umelisaidiaje Taifa lako, Jibu utakalo toa ni matusi, halafu unajiona Bonge la msomi
Elimu yangu na kulisaidia taifa langu kunahusiana vivi na utekaji wa raia wa Tanzania? Walahi huko shule ulienda kusomea ujinga
 
Sheria haiwaruhusu kufanya hivyo kuweka vitu hadharani,labda sheria ikabadilishwe lakini sheria, taratibu na kanuni ya uanzishwaji wake inawabana.
Sheria inazuia kabisa kuingilia/kudukua mawasiliano ya watu!Huwa wanafanya hivyo kinyume na sheria kwa ajili ya usalama wa nchi!Sasa unashangaa usalama wa taifa wanajidhalilisha kwa kuweka hadharani watu wakimteta jiwe,ni aibu!
 
Elimu yangu na kulisaidia taifa langu kunahusiana vivi na utekaji wa raia wa Tanzania? Walahi huko shule ulienda kusomea ujinga
Nilichokuwa nakitegemea kutoka kwako ndicho hicho ulichoandika wewe msomi,

Si kila aliyeenda shule alienda kujielimisha, ulichoandika ndicho kinachotambulisha ujinga wako
 
Mkuu eti wewe nawe ni TISS kama wadau wanavyosema hapo juu ? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ha ha haaaa!!! Huyo aliyenizushia, alifanya hivyo baada ya kumbananisha kuwa katulisha "matango pori " na habari ambayo haihusiani na chombo Chetu muhimu katika uhai wa Taifa letu. Alifanya hivyo kukwepa aibu.

Hata wewe pia mbane adhibitishe tuhuma zake hizo fake lazima ataingia mitini ha ha haaaa!!!

Hana lolote mzushi kama baadhi ya wazushi wanaojitokeza mara kadhaa hapa JF. haha ha haaaa!
 
Nshatoa hukumu yangu tayari
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ha ha haaaa!!! Huyo aliyenizushia, alifanya hivyo baada ya kumbananisha kuwa katulisha "matango pori " na habari ambayo haihusiani na chombo Chetu muhimu katika uhai wa Taifa letu. Alifanya hivyo kukwepa aibu.

Hata wewe pia mbane adhibitishe tuhuma zake hizo fake lazima ataingia mitini ha ha haaaa!!!

Hana lolote mzushi kama baadhi ya wazushi wanaojitokeza mara kadhaa hapa JF. haha ha haaaa!
Mkuu hiki kicheko kama lemutuzi kabisaa
 
Duh...!, Mkuu Misasa, unaniulizia mimi role ya Tiss?!, nitaijulia wapi?.
Huko kwenye sheria ndio kabisa!.
Jf ni user generated forum mtu anachangia kile unachokijua. Hicho nilichochangia kuhusu TISS ndicho ninachokijua, kama na wewe mwenzetu unajua role ya TISS kwenye Corona, changia.
P
Mr. P- The humble replier

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Taifa hili tunahitaji mabadiliko sana.
Huwezi kutegemea mtoto wa maskini aliyesoma kwa taabu, kula kwa taabu nk awaze mema juu ya wengine,.
Wengi wetu wamejaa nyongo, visasi na roho mbaya ndio maana wanadili na kupanga maovu tu juu ya wananchi badala ya kuwa walinzi.
Nashauri TISS wawe watu wenye exposure na maisha na wajue mataifa mengine wafanyavyo
Duh...!. Tiss wetu watakuwa wako busy kudukua simu za watu na kufuatilia mitandaoni nani ka comment nini kuhusu Corona!.

P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom