Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hao ni police wa israelHio lugha si kiarabu wala kiyahudi wala kiiran, kidogo kama kikurdi au Turkish, nadhani zaidi ni huko upande wa South America.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni police wa israelHio lugha si kiarabu wala kiyahudi wala kiiran, kidogo kama kikurdi au Turkish, nadhani zaidi ni huko upande wa South America.
ndio nimeona lakini lugha walio kuwa wanaongea kidogo ilinisunbua haisikiki vizuri lakini nimefatilia vizuri kweli wayahudi.Hao ni police wa israel
Iran ni nchi kubwa kuliko Lebanon huwezi kuidhibiti yote ipasavyo unaukubwa kama Tz na ina intelligence net work nyingi kupenyeza watu wao ni rahisi sanaa
Mossad huwa akitaka kufanyakazi sehemu sio lazima atumike myahudi wanatumia hata raia wa hyo hyo nchi wanakupa tu Hela unasaliti nchi yakoHawa lakini si wa Lebanon wala hawaongei kiarabu itakuwa ni fake news. Hi inaonyesha ni South America
Suala la unoform sio issue ata wa palasitine na wa Lebonon katika oparation zao huvaa sare za israel kama camouflage, kwasbb kwassa hamna mpaka walioko wazi yote imefungwaJamaa kaingia chaka. Hizo ni uniforms za Police wa Israel. Wamekamata waarabu
Hio mimi nadhani wana act filim hamna lolote, wamejua vipi watu wamo mle wakati hakuna vehicle scanner 😄Mossad huwa akitaka kufanyakazi sehemu sio lazima atumike myahudi wanatumia hata raia wa hyo hyo nchi wanakupa tu Hela unasaliti nchi yako
Kijana, hiyo Field/combat dress siyo ya Hezbollah!Wanaukumbi.
Majasusi wa Israel wa Mossad wadakwa wakijaribu kuingia
Lebanon kwenda kumuua Syed
Nasrullah kiongozi wa Hezbollah.
View attachment 3071706
Wewe namna gani bwana hata picha huoni, huwezi kuona bendera ya Israel kwenye bega la huyo polisi..!!Hio lugha si kiarabu wala kiyahudi wala kiiran, kidogo kama kikurdi au Turkish, nadhani zaidi ni huko upande wa South America.
Sheikh kaingizwa chaka. Anaona aibu kurudi tenaMajasusi wamepanda fuso?! 😆😆
acha uongo
hao ni wapalestina probably Hamas walikamatwa mpaka wa Israel
Video ni ya kitambo
View: https://x.com/Michael_Wgd/status/1793336135491457217
Wewe naona unafikiri hao ni polisi wa Kariakoo, ngoja siku moja waje wampoteze Ayatollah ndio utawafahamu vizuri.Hio mimi nadhani wana act filim hamna lolote, wamejua vipi watu wamo mle wakati hakuna vehicle scanner 😄
acha uongo
hao ni wapalestina probably Hamas walikamatwa mpaka wa Israel
Video ni ya kitambo
Mods Moderator Mhariri Diversity kwenye heading ongezeeni neno "uzushi" kisha kwenye post muweke fact check
View: https://x.com/Michael_Wgd/status/1793336135491457217
acha uongo
hao ni wapalestina probably Hamas walikamatwa mpaka wa Israel
Video ni ya kitambo
Mods Moderator Mhariri Diversity kwenye heading ongezeeni neno "uzushi" kisha kwenye post muweke fact check
View: https://x.com/Michael_Wgd/status/1793336135491457217
Vyanzo vyao vya habari vinawajaza uongo na kuwajaza takataka za "From the river to the sea"Ritz umepatwa na Mharo...... Utashika shika kila nyasi kutawadha.kumbe nyingine upupu.
Hawana hata ufahamu wa kuchunguza. Elimu ni shida kwao.Vyanzo vyao vya habari vinawajaza uongo na kuwajaza takataka za "From the river to the sea"