Mossad wakamatwa wakitaka kuingia Lebanon kumuua kiongozi wa Hezbollah

AMEUKALIA .... KAJIPAKA KINYESI.... SASA ANAONA AIBU WATU WAMEMKUTA..... DOGO KILAZA SANA. HIYO VIDEO WAMEPEANA LEO MCHANA KUWA ISAMBAZWE......
mwamba ni kichwa sana ila sometimes anakuaga na akili chache mno yakija mambo ya chama ni imani
 
Huwa anatabia za kukurupuka
 
Wewe namna gani bwana hata picha huoni, huwezi kuona bendera ya Israel kwenye bega la huyo polisi..!!
Kwani hakuna watu wana act film wako India wakavaa nguo za police wa USA 😄
 
Kuna waisrael wa kiomon, kasera,vijibweni, kibada hawataamini kama waisrael wenzao wamedakwa.
Mkuu hebu acha utoto basi?? Yaani hata wewe huna macho??
Rudia kuangalia video vizuri alafu utuambie tangu lini askari wa Lebanon wakavaa bendera ya Israel... Tatizo mnaichukia Israel mpaka akili mnaweka pembeni...au kama hujui logo ya israel nenda bata google basi. Hawa ni askari wa Kiyahudi
 
Wanawachomoaga kwa Drones tu hao ; mmoko mmoko.
 
Wanaukumbi.

Majasusi wa Israel wa Mossad wadakwa wakijaribu kuingia
Lebanon kwenda kumuua Syed
Nasrullah kiongozi wa Hezbollah.

View attachment 3071706
Nimecheka Sana, Majasusi, hawatumii mbinu ya kitoto kama hiyo,
Hata polisi CCM richa ya, kuwa vilaza, hawawezi, kutumia mbinu ya, kichoko kama hiyo kwenda kuwawinda chadema, sembuse Mossad, tena kuingia Lebanon, mahasimu wao! Bro huna uelewa wa covert operations
 
Huyu jamaa kilaza sana.wamedanganyana kuwa hao ni majasusi.kumbe ni watu wao wenyewe wameshikwa na police wa Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…