Mossad wakamatwa wakitaka kuingia Lebanon kumuua kiongozi wa Hezbollah

Wanaukumbi.

Majasusi wa Israel wa Mossad wadakwa wakijaribu kuingia
Lebanon kwenda kumuua Syed
Nasrullah kiongozi wa Hezbollah.

View attachment 3071706
Ila wa Tanzania hatu reason, sasa Mossad imetajwa wapi hapo na kwamba hao ni majasus umejuaje? So na wale tunakamataga huku bongo wakitokea Ethiopia nao ni mossad wanaenda South Africa? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uweleweki wewe lazima utakuwa upinde🌈 unachekq hovyo
 
ndio nimeona lakini lugha walio kuwa wanaongea kidogo ilinisunbua haisikiki vizuri lakini nimefatilia vizuri kweli wayahudi.
Ila dogo sometimes nakuheshimugi. Tuna ushabiki too much. Hii vita so poa cease fire ipatikane.
 
Akili za madrasa
 
Ila dogo sometimes nakuheshimugi. Tuna ushabiki too much. Hii vita so poa cease fire ipatikane.
Nani anaye taka vita, hakuna kitu kama amani. Lakini mimi upande wangu naona bora vita iendelee Israel kisha kwisha na US hawezi msaidia lolote.

Iran na Hezbullah na Yemen wasipo macharaza Israel tawaona mafala sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…