startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,148
- 1,478
Kama kawaida yako UMEUMBUKAndio nimeona lakini lugha walio kuwa wanaongea kidogo ilinisunbua haisikiki vizuri lakini nimefatilia vizuri kweli wayahudi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida yako UMEUMBUKAndio nimeona lakini lugha walio kuwa wanaongea kidogo ilinisunbua haisikiki vizuri lakini nimefatilia vizuri kweli wayahudi.
Msameheni mleta mada Elimu yake madrasaHao ni police wa israel
Ila wa Tanzania hatu reason, sasa Mossad imetajwa wapi hapo na kwamba hao ni majasus umejuaje? So na wale tunakamataga huku bongo wakitokea Ethiopia nao ni mossad wanaenda South Africa? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanaukumbi.
Majasusi wa Israel wa Mossad wadakwa wakijaribu kuingia
Lebanon kwenda kumuua Syed
Nasrullah kiongozi wa Hezbollah.
View attachment 3071706
Uweleweki wewe lazima utakuwa upinde🌈 unachekq hovyoIla wa Tanzania hatu reason, sasa Mossad imetajwa wapi hapo na kwamba hao ni majasus umejuaje? So na wale tunakamataga huku bongo wakitokea Ethiopia nao ni mossad wanaenda South Africa? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila dogo sometimes nakuheshimugi. Tuna ushabiki too much. Hii vita so poa cease fire ipatikane.ndio nimeona lakini lugha walio kuwa wanaongea kidogo ilinisunbua haisikiki vizuri lakini nimefatilia vizuri kweli wayahudi.
Sheikh ubwabwa umeumbuka na habari zako za uchochoroniYaani wewe unajifanya mke wangu unanipangia cha kuandika JF.
Uwe unasoma na uelewe kinachozungumziwa ndio u commentkwahio mossad wamekamatwa na polis wa mazayuni ?
Wanaukumbi.
Majasusi wa Israel wa Mossad wadakwa wakijaribu kuingia
Lebanon kwenda kumuua Syed
Nasrullah kiongozi wa Hezbollah.
View attachment 3071706
we umemuelewaje mtoa mada ?Uwe unasoma na uelewe kinachozungumziwa ndio u comment
Akili za madrasaDOGO UMEKURUPUKA. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣UMEINGIZWA CHAKA. HAO NI POLICE WA ISRAEL...... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
SHEIKH KUNDECHA AMEKUDANGANYA NAWE HUKUCHANGANYA NA ZAKO.
Nani anaye taka vita, hakuna kitu kama amani. Lakini mimi upande wangu naona bora vita iendelee Israel kisha kwisha na US hawezi msaidia lolote.Ila dogo sometimes nakuheshimugi. Tuna ushabiki too much. Hii vita so poa cease fire ipatikane.
Aaaaaiiiseeee!!! Uko ok lakini?Nani anaye taka vita, hakuna kitu kama amani. Lakini mimi upande wangu naona bora vita iendelee Israel kisha kwisha na US hawezi msaidia lolote.
Iran na Hezbullah na Yenen wasipo macharaza Israel tawaona mafala sana.
Kidogo zimepinda kama zako lakini zako zimepinda sana 😄Aaaaaiiiseeee!!! Uko ok lakini?
Israel yupo hoi wakati wiki hii hii Bden kaidhinisha package ya dola bil 132 ya silaha kwenda Israel.Kidogo zimepinda kama zako lakini zako zimepinda sana 😄
Kwani zinazo pigana vita ni pesa na silaha au wanajeshi, wako wapi wanajeshi 😄Israel yupo hoi wakati wiki hii hii Bden kaidhinisha package ya dola bil 132 ya silaha kwenda Israel.