Mossad wakamatwa wakitaka kuingia Lebanon kumuua kiongozi wa Hezbollah

Wanaukumbi.

Majasusi wa Israel wa Mossad wadakwa wakijaribu kuingia
Lebanon kwenda kumuua Syed
Nasrullah kiongozi wa Hezbollah.

View attachment 3071706
Kosa ni la Jamii forum kuruhusu wajinga kuanzisha thread.. this Fanatic Muslim uongo kwao ni Ibada... news haina uhusiano wowote na Mosad na hao Askari ndio Waisrael wamekamata wahamiaji haramu.. Uislam jamani mbona unatukanwa na wajinga huyu jamaa ni sheikh ukute
 
Suala la unoform sio issue ata wa palasitine na wa Lebonon katika oparation zao huvaa sare za israel kama camouflage, kwasbb kwassa hamna mpaka walioko wazi yote imefungwa
hahahaha yaani mtu muongo akishikwa analeta sababu nyingine ya kijinga... mleta Mada huwa always analeta story za uongo so ukimsupport na wewe unaingia katika huo uongo.. hii thread ilitakiwa ifutwe na mods au iamishiwe kwenye Jokes...
 
Hahaha wewe ungekuwa na akili na haupendi uongo ungenunua udogo kwa Mwamposa.
 
Sheikh chikunde baada ya ulaghai wake kubumburuka
1000145860.jpg
 
Mtaalam Ritz, na FaizaFoxy, ni wafia Dini waliopitiliza kufikia kiwango cha Ujahidina.
Ujahidina maana yake wako tayari kufanya chochote halari au halamu ili kumnusuru Mola wao mlezi asidhalilike kwa kosa la ku-uongopea ulimwengu.
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِن تَنصُرُوا اللَّهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ
MUH'AMMAD - 7
Enyi mlio amini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
 
"halari" ndio nini?
 
Ananusuriwa tena?
 
Ujahidina Ndiyo nini?
 
Back
Top Bottom