Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Waliokamatwa hapo siyo mayahudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa ni la Jamii forum kuruhusu wajinga kuanzisha thread.. this Fanatic Muslim uongo kwao ni Ibada... news haina uhusiano wowote na Mosad na hao Askari ndio Waisrael wamekamata wahamiaji haramu.. Uislam jamani mbona unatukanwa na wajinga huyu jamaa ni sheikh ukuteWanaukumbi.
Majasusi wa Israel wa Mossad wadakwa wakijaribu kuingia
Lebanon kwenda kumuua Syed
Nasrullah kiongozi wa Hezbollah.
View attachment 3071706
Msikiti TvSorce
Akafanya kusudi Wala hajachanganyaView attachment 3071728umechanganya mafaili mkuu, huyo ni afisa upelelezi wa Israel amewadaka hao waarifu, bila shaka ni Terrorist wa hezbollah wamedakwa
Nan kawachomeshaWanaukumbi.
Majasusi wa Israel wa Mossad wadakwa wakijaribu kuingia
Lebanon kwenda kumuua Syed
Nasrullah kiongozi wa Hezbollah.
View attachment 3071706
hahahaha yaani mtu muongo akishikwa analeta sababu nyingine ya kijinga... mleta Mada huwa always analeta story za uongo so ukimsupport na wewe unaingia katika huo uongo.. hii thread ilitakiwa ifutwe na mods au iamishiwe kwenye Jokes...Suala la unoform sio issue ata wa palasitine na wa Lebonon katika oparation zao huvaa sare za israel kama camouflage, kwasbb kwassa hamna mpaka walioko wazi yote imefungwa
Hahaha wewe ungekuwa na akili na haupendi uongo ungenunua udogo kwa Mwamposa.hahahaha yaani mtu muongo akishikwa analeta sababu nyingine ya kijinga... mleta Mada huwa always analeta story za uongo so ukimsupport na wewe unaingia katika huo uongo.. hii thread ilitakiwa ifutwe na mods au iamishiwe kwenye Jokes...
Israel haitumii watu wake kizembe hivyo. Mara nyingi wanatumia "sleepers"!Wanaukumbi.
Majasusi wa Israel wa Mossad wadakwa wakijaribu kuingia
Lebanon kwenda kumuua Syed
Nasrullah kiongozi wa Hezbollah.
View attachment 3071706
Maislamu ya humu yanatamani Israel ifeli.Sasa kusema uongo sijui kunayasaidia niniView attachment 3071728umechanganya mafaili mkuu, huyo ni afisa upelelezi wa Israel amewadaka hao waarifu, bila shaka ni Terrorist wa hezbollah wamedakwa
"halari" ndio nini?Mtaalam Ritz, na FaizaFoxy, ni wafia Dini waliopitiliza kufikia kiwango cha Ujahidina.
Ujahidina maana yake wako tayari kufanya chochote halari au halamu ili kumnusuru Mola wao mlezi asidhalilike kwa kosa la ku-uongopea ulimwengu.
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِن تَنصُرُوا اللَّهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ
MUH'AMMAD - 7
Enyi mlio amini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
Ananusuriwa tena?Mtaalam Ritz, na FaizaFoxy, ni wafia Dini waliopitiliza kufikia kiwango cha Ujahidina.
Ujahidina maana yake wako tayari kufanya chochote halari au halamu ili kumnusuru Mola wao mlezi asidhalilike kwa kosa la ku-uongopea ulimwengu.
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِن تَنصُرُوا اللَّهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ
MUH'AMMAD - 7
Enyi mlio amini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
Ujahidina Ndiyo nini?Mtaalam Ritz, na FaizaFoxy, ni wafia Dini waliopitiliza kufikia kiwango cha Ujahidina.
Ujahidina maana yake wako tayari kufanya chochote halari au halamu ili kumnusuru Mola wao mlezi asidhalilike kwa kosa la ku-uongopea ulimwengu.
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِن تَنصُرُوا اللَّهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ
MUH'AMMAD - 7
Enyi mlio amini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
Afadhali zionism kuliko magaidi wa hamas walivyofanya ukatili dhidi ya Watanzania wenzetu