Unajichomoa akili kwamba haujui impact ya hizo Silaha eti? Jaribu kuwasiliana nawenzio( nna mainisha wenzio Kweli kweli) huko Khan younis,nablus,al-awda hospital,deir -al balah, Nasser hospital etc.Kwani zinazo pigana vita ni pesa na silaha au wanajeshi, wako wapi wanajeshi 😄