Mossad wakamatwa wakitaka kuingia Lebanon kumuua kiongozi wa Hezbollah

Kwani zinazo pigana vita ni pesa na silaha au wanajeshi, wako wapi wanajeshi 😄
Unajichomoa akili kwamba haujui impact ya hizo Silaha eti? Jaribu kuwasiliana nawenzio( nna mainisha wenzio Kweli kweli) huko Khan younis,nablus,al-awda hospital,deir -al balah, Nasser hospital etc.
 
Hizo silaha zinauwa civilian haziwauwi Hamas, mlisema Mohamed Al Dhaifu mmemuwa kumbe mmeuwa civilian tena watoto na wanawake.

Mmeona mlipo jaribu kugusa Lebanon leo, Hezbullah alivyo wapiga jeshi la Israel walipo try kwa land force moto mlio pelekewa si wakawaida. Nyie wakurusha tu vibom kama wale vichaa warusha mawe.
 
Unamwangalia mpz wako huku umevaa miwani ya vioo vya kuwa uwa Rose....kilema chochote alichonacho utakiita ni swaga
 
Hizo silaha zinauwa civilian haziwauwi Hamas, mlisema Mohamed Al Dhaifu mmemuwa kumbe mmeuwa civilian tena watoto na wanawake.

Mmeona mlipo jaribu kugusa Lebanon leo, Hezbullah alivyo wapiga jeshi la Israel walipo try kwa land force moto mlio pelekewa si wakawaida. Nyie wakurusha tu vibom kama wale vichaa warusha mawe.
Kumbe anaitwa Dhaifu? yupo wapi sasa?
 
Back
Top Bottom