and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
- Thread starter
-
- #241
Wakishambulia wakaondoka na wao watashambulia...Houthi watafukuliwa huko huko Yemeni
Kiburi hiki anakipata kutoka Marekani.Tishio la Netanyahu kwa Iran jana kuwa hakuna mahali popote ndani ya Irani ambapo "mkono mrefu" wa Israeli hauwezi kufika. Walikuwa wanamaanisha Ayatollah Khamenei na uongozi wote wa Iran unafikika.
Hofu yangu ni Houthi ipo siku watashambulia ndege za abiria zinazopita anga la Yemen ili kupata attention. Niliwahi kupanda Qatar kuangalia Ile route map naona tunapita Yemen daah, nikapata hofu SanaWakishambulia wakaondoka na wao watashambulia...
Hii vita hakuna anayekubali unyonge, hao Hiuthi ndio kabisaa hata wapewe manati wanaingia vitani.
Houthi ndio watatumika hata na Iran kufanya lolote..Hofu yangu ni Houthi ipo siku watashambulia ndege za abiria zinazopita anga la Yemen ili kupata attention.
Houthi hamnazo. Ndo maana Saudia anajihami sana. Hivi ISIS bado wapo?Houthi ndio watatumika hata na Iran kufanya lolote..
Jamaa wapo moto haswa.. wale wakipata hata nuclear kesho utasikia imelipuliwa...
Ni strategy waliyoamua kuitumia wao.Houthi hamnazo. Ndo maana Saudia anajihami sana. Hivi ISIS bado wapo?
Unahitaji source ya nini hapo ikiwa mwandishi kafanya analysis yake kwa kutoa mtazamo wake binafsi?Mwandishi amechakata taarifa hizo kutoka sources mbalimbali hivyo alichokitoa ni maoni yake binafsi.Sio kila arab news za kuziamini.
Kuna trusted source sio kila source ni validated source.
Hayo mambo ya bikra 72 yanaingiaje?
Turudi katika mada acha makando kando.
Unajielewa we jamaa!?Unahitaji source ya nini hapo ikiwa mwandishi kafanya analysis yake kwa kutoa mtazamo wake binafsi?Mwandishi amechakata taarifa hizo kutoka sources mbalimbali hivyo alichokitoa ni maoni yake binafsi.
Tutahitaji source pale tu tunapotoa taarifa za tukio
Hebu niulize kidogo hapa, Kumbe Iran wanafadhili ugaidi? kwahiyo Iran ni nchi ya kigaidi, itakuwa Yemen na syria pia ni nchi za kigaidi sio?Iran wanafadhili Ugaidi kwa faida ya Nani?
Last line. Mabikira 72[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Mkuu sio taarifa zangu....Ni arab News....jaza zako basi kuziweka sawa.....Taarifa ya hakika....Jamaa amekufa.....na kwa upande wa Imani anafurahia mabikira 72! Hizo hazina ubishi....
Endelea ku piga kichwani mkuu,akiendelea piga na kwenye pu*****u[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Toa trusted source basi....Drive ya Hezbolah ni ya kidini....Ideology yao yote imesimama Kiimani....ndio maana nasame yeye kafa na hana cha kupoteza....anafurahia bikra 72....
Tazama TV series hizi mbili, Tehran na Fauda uone namna Wayahudi walivyojipenyeza huko Iran, Palestina na Lebanon...
Nyie watu ni waajabu kabisa! yaani mnaamini mtafufuliwa muishi tena, mtaimba huko nakadhalika, yote hayo yakiwa ni dalili ya wazi ya kile mlichopewa hapa duniani kuwa ni mfano dhaifu tu wa kile mtakachopewa mbinguni i.e. maisha ya duniani ni ya mpito kule mtaishi milele, raha na furaha zote za duniani huambatana na kero na dhiki za maisha. Ila yote hayo yatakuwa perfected mkienda mbinguni, hapo naamini tunakubaliana 100%.Last line. Mabikira 72[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
unasema helicopter tuu?
Hivi mkuu unafikiri ni rahisi kutengeneza helicopter?
Kuna parts nyingi sana kukamilisha ndege, kuna maelfu na maelfu ya parts mbali mbali, vifaa vya ki electronic, systems mbali mbali, humo kuna microchips, kuna sensors, kuna radars na kila aina ya takataka, fanya research ndogo tu kutafitie gari ina spare parts za aina ngapi, gari imepaki kisa umeagiza spare part toka Japan, sasa imagine mna sanctions, ina maana inabidi muanze kutengeneza parts zenu, hizo ni parts baadhi tu, sasa chukulia gari zima....
Hata iPhone wanatengenezewa vifaa vingine vya simu kama vioo n.k na kampuni nyingine, pia wanatumia semiconductors kutoka kwa kampuni zingine....
Sio rahisi ku design kila kitu from scratch, radar tu ya ndege kuitengeneza ni jopo la engineers wenye uwezo uliotukuka, vipi ndege nzima?
Radar tu utakuta kuna Chip kutoka Taiwan, chip ingine kutoka US, ingine kutoka Germany....
India tu, imechukua miaka 30 kufanya tafiti kutengeneza ndege yao ya kivita sijaju kama walishamaliza mara ya mwisho ilikuwa mwaka juzi wanamalizia... Na hao hawakuwa na vikwazo ...
hivi unazionaga tambo za iran lakini? iran wakioneshaga matambo yako utasema hakuna kitu ambacho hawajui kutengeneza hapa dunianiunasema helicopter tuu?