Most expensive schools in Tanzania

Haiwezekani utafute pesa kwa shida halafu mtoto wako asome darasa moja na watoto waliozaliwa kwa mimba aliyopewa beki tatu.

wazazi wasio na uwezo watoto wao hapa
wazazi wenye uwezo watoto wao kule
umasikini hautaki hasira wakuu
 
hivi hatuwezi kuweka hio Cambridge curriculum kwenye hizo shule za kawaida??? msione wazazi wako tayari kulipa hela nyingi ni sababu wanataka watoto wao wapate elimu yenye kiwango cha kimataifa,to close the gap waziri wa elimu angeintroduce hii kitu kwa shule za kawaida,then fees itashuka na kuwa fair kwa wote(wanaopeleka private na wanaosoma kwenye shule za kawaida.
 
kwa zamani labda ila kwa siku hizi sio pazuri huko maana u-Cameron ndo penyewe!
 
Wanaishiaa wapi lakini ?
 
Hakunaga TO..kwa shule kama hizo..hahahaaa mungu ana maajabu yake
 
We jamaa unatemaga sana sense....bravo
 
Masikini wanaongopeana sana na kufarajiana.

Mkuu umewahi kusoma hizi shule au kuwafahamu kwa ukaribu kama ndugu watu waliosoma hizi shule?

Mfano ni kama MO Dewji, au yule dogo aliesoma HOPAC kaenda Stanford kisha Harvad. Alie chukua zawadi kwenye shindano la kimataifa la kongamano la wachumi ambae kampuni kubwa USA zinamtaka.
 
Kuna watu wanamaisha jmn..na wengine tunasindikiza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…