Je unaanzaje kumpeleka mtoto shule wakati formal education imeletwa na watu wa nchi nyingine,ng'ang'ania elimu ya jadi kuliko kuja na kauli za 'sizitaki mbichi hizi'.nchi za kiafrika tunashida sana yani tunatawaliwa kila eneo,hivi unaanzaje kuruhusu shule ambazo zipo nchini mwako kutumia mitaala ya nchi zingine.
Asante kwa kutupa MOTISHA ,wanetu wasome hapo....ivi kifupi cha IB ,inamaana gan?Hapo ukisoma inajieleza vzr.... Kwa mwaka
Sizitaki mbichi hiz-maneno ya kujifarijiHuku watoto hawachapwi bakora..... Kissing, touching, sex in the bathrooms ni kitu cha kawaida. Mwanangu simpereki Ng'oooooooo.
Washakwambia kina Mo Dewji, tajiri aliyenunua mashamba ya mkonge na hayaendelezi! (Ila twajuwa kayafanyia nini), labda watoto wa lamba lamba (Azam), Labda watoto wa....kifupi matajiri tu, au wale ma CEO walioletwa hapa kufanya kwenye makampuni ya Benki na Makinikia!Hela yote hiyo wanaitoa wap
Mbona hawapo kwenye top ten kila mwaka za wanaongoza kitaifa mwaka huu hamna hata mmoja top ten form 4 wal form 6Ila hzo shule watoto wake wanaosoma wanakuaga ma genius,..achana na u genius wa kukariri huu wa saint kayumba,..hawa madogo mfano wa hyo IST,..wanakuaga wanajua mambo meng sana,hata umchukue mtoto wa primary ukae uongee nae maswala yenye mantik,atakustaajabisha,so ukute sasa ana akili za kuzaliwa ndo utakubal..
Acha upimbiSo, which is the most expensive? Maana naona zote unaanza kwa "is the most expensive"
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Daaah ngoja ni hustle namimi mwanang nimpeleke akafute tongotongo japo mhula mmoja halafu anarudi kumalizia mzimuni primary school
Akili za kuzaliwa ndiyo zipi mkuu? Kwani kuna za kuridhi? Naomba ufafanuzi pleaseIla hzo shule watoto wake wanaosoma wanakuaga ma genius,..achana na u genius wa kukariri huu wa saint kayumba,..hawa madogo mfano wa hyo IST,..wanakuaga wanajua mambo meng sana,hata umchukue mtoto wa primary ukae uongee nae maswala yenye mantik,atakustaajabisha,so ukute sasa ana akili za kuzaliwa ndo utakubal..
Nimelipa mwezi wa 9 USD 1000 admission, 800 chakula na 1900 fees shule nampeleka mwenyewe hapo Salasala. Kila semester ni 1900Nina form ya Feza primary ada 5.2M darasa la kwanza.
Acha kupotosha...Hakuna jombaa, shule siyo mahindi kila mahali unaweza kuotesha.
Mkuu unaongelea shule ambazo ni za kimataifa pia ni binafsi, kuna shule ziko upanga ni za serikali pia za msingi lakini wao elimu sio bure mfano Olimpyaonchi za kiafrika tunashida sana yani tunatawaliwa kila eneo,hivi unaanzaje kuruhusu shule ambazo zipo nchini mwako kutumia mitaala ya nchi zingine.
Acha kupotosha...
ISAMILO INTERNATIONAL SCHOOL IKO MWANZA NA KUNA MWANAJAMVI MMOJA KASEMA NI YA PILI KWA KUWA EXPENSIVE.....
Tatizo ni implementation tu boss wangu..hatujawa serious kivile kwenye elimu mkuu na kuboresha maslah ya walim ndio maana hawafundish kwa moyo mmoja na syllabus haziishii,but kwa nch kama germany walim wanapewa pesa ya kutoshEti mtaala wetu mgumu huku tunasumbuliwa hata na wakenya, wamalawi, waganda, waghana, wanaijeria na wazambia kwenye general knowledge ktk Zain/airtel challenge?
Ndio tutajifananisha na hao wa IB na Cambridge?
International BaccalaureateIB kirefu chake ni nini?