Most expensive schools in Tanzania

Kwakua tushazijua ,na gharama zake sasa tutafute hela tupelekee watoto wetu
 
Akili za kuzaliwa ndiyo zipi mkuu? Kwani kuna za kuridhi? Naomba ufafanuzi please
Kama hufaham usemi kama kuna akil za mtu za kuzaliwa bas nadhan huna hadh ya kujadiliana namim kwan uwezo wako ni hafif sana..na ufafanuz ni kua wew huna akil za kuzaliwa,huo ndo mfano
 
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51] kweli wengine tupotupo hapa duniani!!!! Sasa utakuta mtu anamsomesha mtoto wake analipa milion na nusu.... Basi atajisifiaa weee.... Ninahehalaaa.... Kulalekiii wakati wengine wanalipa mamilion duuu!!
 
Mbona hawapo kwenye top ten kila mwaka za wanaongoza kitaifa mwaka huu hamna hata mmoja top ten form 4 wal form 6
Hawafany sylabus hii yetu mkuu,mfano IST,labda mwanafunz achague..ma top wao hua wanapata scholarship za havard,Yale,.etc,.nawafaham vijana kadhaa wa hzo shule,ni hatar wako havard etc...na weng sylabus yetu hii hawapend fanya mitihan sabab wanaamin elim yao ni ya juu sana kisahihishwa mitihan na avarage teachers,na siunajua jins usahihishwaj wa mitihan wa necta? Necta Wana format yao,na wanafunz wa sylabus ya necta wanafundishwa kujib maswal kwa format hyo,kama we umesoma kayumba utanielewa,..wale IST wanafundishwa kama uko chuo,unajib kama uko chuo,etc,nadhan,umenielewa
 
Hapo nimekupata mkuu
 
Dah iyo braeburn kuna mtoto anasoma hapa jirani yetu.anapiga ngeli ile yenyewe ya UK.
wewe umejuaje kama ndio yenyewe ya UK... maana walimu wengi ni wahindi...
 
Naona Shule nyingi za Kimataifa Zipo Arusha..


Arusha ni level ya Kimataifa..
Shule za level gani... Ebu zitaje... Umataifa wa Arusha ni upi? ni shule? Idadi ya Wageni au kitu gani? au International Airport au Hifadhi? sema vizuri mkuu...
 
Huyu mwanafunzi atakuja kufanya kazi gani ili arejeshe ada aliyosomea? Au kwenye kusomesha hatuangalii faida ya kipesa kulinganisha na mtaji tuliowekeza?

Nadhani kama asipopata kazi UN basi atajitahidi awe fisadi hata kwa msisitizo wa waliomsomesha ili aibe afidie ada aliyosomea.

Elimu nzuri zipo tena kwa gharama affordable.
 

2. We are a school with two campuses; one based in Moshi at the base of Kilimanjaro and the other in Arusha at the base of Mount Meru. Many of our students will summit either one or both of these spectacular mountains by the time they come to leave our school. The mountains inspire awe and wonder as well as serving as a reminder of the heights great education can lead a child to reach

1. Jaffery ikijakuwa International school, hawa waindi watakuwa wahuni, hawana mazingira ya kuwafanya kuwa hivyo wanavyo taka... Dogo wa My bro kakimbiza sana Jaffery na sasa yupo Seminary ana wakimbiza vile vile...

http://www.ismoshi.org/jobs/
 
kunakuwa na maudhamini humo... na wanapenda kufanya biashara zaidi... au kuajiriwa kwa mishahara minono... kama hernandez wa Bill gates

International School Moshi | Scholarships

What is the ISM Scholarship Programme?
The International School Moshi (ISM) Scholarship Programme develops the future leaders of Tanzania by giving talented local students full scholarships to complete their schooling. Scholarships are offered on both campuses for students in the International Baccalaureate Diploma Programme (Forms 5 & 6). We ensure these students are successful through hosting them as boarding students, enabling them to participate fully in co-curricular activities, and providing them with pastoral care and university application support.

In addition to ISM’s own scholarships, ISM is also a partner in the Beacon Scholarship Programme for students aged 13 and above. Click here for more details
 
Dewji alitoka hapo IST, alivyomaliza chuo alikuta METL turnover ikiwa $50M... Alivyokabidhiwa kampuni within 10 yrs turnover ikapaa mpaka $500M.. Sasahivi wako Billion Dollar..

Umeona faida hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…