Most expensive schools in Tanzania

kweli kabisa hivi SEPETU, PFUNKY,KALI ONGALA, TID.LEMUTUZ wamesoma shule gani na fananisha na MILARD AYO, MNYIKA, SHIGONGO nk
 

mkuu unajua kweli maana ya mtu genius?. Kati ya mtoto anayesoma FEZA mfano na anayesoma Mirare secondary school shule ya kata yenye waalimu 5 bila maabara wote wakipata dv one NECTA. Wa FEZA akiwa na 1.7 halafu wa mirare akawa na 1.9 hapo nani ni genius?. assume no leakage of examination
 
Mkuu, mtoto aliyesoma IST unataka afikirie kufua?,sijui kupika?.Hayo ni mawazo ya uku uswahilini.
 
Huyo huyo kalaban
Leah master jay alipita pale, wako kibao huku msasani ,wengine mama zao walimu mtoto anapewa nafasi IST
Aseeh, wewe ulisoma wapi maana mie shule niliikimbia.
 
hata siku nikiwa na hela kama za baresa bado mtoto wangu atasoma shule za serikali kuanzia darasa la 1 hadi chuo
 
ah wapi wana u genius gani vichwa maji tu! ku manage mali za urithiu vizuri sio lazima uwe genius
 
Kwangu seminary za kikatoliki ndo naona shule bora kielimu hata kimaisha kuliko shule hizo za maela MTU aliyetoka seminary ndo naona unakuwa ameiva hasa mfano angalia viongozi wazuri na watu wenye mafanikio nchini kimaisha wengi ni waseminary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…