Most expensive schools in Tanzania

Asee mbn Mbon sizioni kwenye Among Of most National leading results! Au hawa ni wapgaj tu
 
Kwangu seminary za kikatoliki ndo naona shule bora kielimu hata kimaisha kuliko shule hizo za maela MTU aliyetoka seminary ndo naona unakuwa ameiva hasa mfano angalia viongozi wazuri na watu wenye mafanikio nchini kimaisha wengi ni waseminary
Kuna ukweli hapa
 
Kwani watoto waliosoma kayumba hawapo huko sober house
 
Hiyo haijalishi, mbona kuna wale wanaosoma kwenye shule za kina kayumba lakini bado wanatisha
 
Hiyo haijalishi, mbona kuna wale wanaosoma kwenye shule za kina kayumba lakini bado wanatisha
Wanaosoma hizo shule ni ngumu kukutana nao kwenye maisha yako ya kawaida.. Exposure yao ni kubwa sana kuliko hiyo ya hao kayumba.

Fikiria mtoto kama wa Mengi au Manji anasoma darasa moja na mtoto wa balozi wa UK, balozi wa Oman, balozi wa Brazil, MD wa Barricks, CEO wa Dangote Industries, CEO wa Twiga Cements, MD wa Vodacom akili zao zitafanana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…