Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Mkuu course content yenyewe haimjengi mtu kuwa mdadisi na mvumbuzi au kuwa mbunifu au kujitegemea na ndio maana sisi wa mitaala hiyo mingine tunategemea sana kuajiriwa tena serikali kwa maana hatuna maarifa ya kujiajiri n.k.Tatizo ni implementation tu boss wangu..hatujawa serious kivile kwenye elimu mkuu na kuboresha maslah ya walim ndio maana hawafundish kwa moyo mmoja na syllabus haziishii,but kwa nch kama germany walim wanapewa pesa ya kutosh