Most expensive schools in Tanzania

Most expensive schools in Tanzania

Tatizo ni implementation tu boss wangu..hatujawa serious kivile kwenye elimu mkuu na kuboresha maslah ya walim ndio maana hawafundish kwa moyo mmoja na syllabus haziishii,but kwa nch kama germany walim wanapewa pesa ya kutosh
Mkuu course content yenyewe haimjengi mtu kuwa mdadisi na mvumbuzi au kuwa mbunifu au kujitegemea na ndio maana sisi wa mitaala hiyo mingine tunategemea sana kuajiriwa tena serikali kwa maana hatuna maarifa ya kujiajiri n.k.
 
tofautisha utajiri mkubwa na wakati,utajiri wa akina manji ni mkubwa maana yake ulikuwa na full management kwake inakuwa sio kazi kumanage sababu anaajiri watu wenye ujuzi kufanikisha kazi hizo.Mkuu unapoambiwa maji hufuata mkondo ndio kama hivyo vitu duniani kote watu wanaorithi mali ni wachache sana amabo wanashindwa kuzi manage lakini nyingi zinakuwa na msingi mizuri tayari ndio maana zinakwenda kizazi hadi kizazi
Kuongoza hiyo management tuu kunahitaji elimu ya kutosha na sio kusimamia tuu,ingekuwa ni hivyo YM au MO wasingeweza kuzifikisha kampuni za fAmilia zao katika peak ya mafanikio
 
Mkuu kiufupi watu wanaongea wasiyoyajua.

Hao watu wapo tofauti sanaaaa na waliopata elimu yetu hii ya KKK.
Tofauti ni kubwa sana ,ttzo tunarithi chuki .Mfano kipindi choote kile ambacho YM anasumbuliwa na kuwekwa mahabusu na huyu malaika wetu aliejaa chuki Na visasi ,nafasi yake pale QG ilikuwa inakaimiwa na mtoto wake mwenye 17yrs zao la IST,na kampuni ilikuwa inakwenda vzr,
Sihisi kama mtoto wa umri huo na zao la st huku kwetu km angeweza
 
IST ndio ndoto lakini huko nilijua sio size yangu hata pre-primary school.
Tafuta pesa uwezavyo kuweza
Kulipia ada ila kwa ist ttzo ni kuwa kupata nafasi ni zaidi ya uwezo wako wa kifedha ,wanaangalia zaidi pia wewe ni nani ktk jamii.Isingekuwa kipengele hicho wengi tungepeleka pale watoto wetu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Tofauti ni kubwa sana ,ttzo tunarithi chuki .Mfano kipindi choote kile ambacho YM anasumbuliwa na kuwekwa mahabusu na huyu malaika wetu aliejaa chuki Na visasi ,nafasi yake pale QG ilikuwa inakaimiwa na mtoto wake mwenye 17yrs zao la IST,na kampuni ilikuwa inakwenda vzr,
Sihisi kama mtoto wa umri huo na zao la st huku kwetu km angeweza
Mtoto wa ist ana vitu vingi kichwani kuliko mwaka wa kwanza wa vyuo vyetu hv
 
Kama hufaham usemi kama kuna akil za mtu za kuzaliwa bas nadhan huna hadh ya kujadiliana namim kwan uwezo wako ni hafif sana..na ufafanuz ni kua wew huna akil za kuzaliwa,huo ndo mfano
Wewe kibonzo kweli.. povu la nini sasa labda uniambie una akili za masaburi nitakuelewa
 
Kuongoza hiyo management tuu kunahitaji elimu ya kutosha na sio kusimamia tuu,ingekuwa ni hivyo YM au MO wasingeweza kuzifikisha kampuni za fAmilia zao katika peak ya mafanikio
mkuu mifano ni mingi duniani kote sio kwa akina MO na YM,hizo kampuni zina survive miaka na miaka kutokana na ukweli kuwa wana ajili ma expart ktk biashara zao-kumbuka hao sio sole proprietor Mkuu na kampuni ambazo zina full ma expart
 
Mkuu unaongelea shule ambazo ni za kimataifa pia ni binafsi, kuna shule ziko upanga ni za serikali pia za msingi lakini wao elimu sio bure mfano Olimpyao
mkuu shule kuwa za private haimanishi kuwa ndio wanapewa authority ya kufuata mitaala ya nje,unapofata mitaala ya nje ukiwa ndani ya nchi yake ni sawa na kuidhofisha elimu ndani ya nchi yako ni sawa na matumizi ya hela ya nchi nyingine ndani ya nchi yako
 
mkuu mifano ni mingi duniani kote sio kwa akina MO na YM,hizo kampuni zina survive miaka na miaka kutokana na ukweli kuwa wana ajili ma expart ktk biashara zao-kumbuka hao sio sole proprietor Mkuu na kampuni ambazo zina full ma expart
Mkuu usisahau pia kuwa Hao maexpartriet nao ni wapigaji hivyo ikiwa na uelewa mdogo wa hicho unachokisimamia nao wanakupeleka kwenye muflisi na pia ukiwa hauna elimu ya kutosha unaweza kushindwa na kuelewa na kufanya maamuzi yenye tija kutokana na ushauri watakaokuletea.....yote kwa yote ni wazi mazao ya hizo shule ni bora kwa mara nyingj kuliko hizi st kayumba
 
Hiyo constatine mtoto wa mama angu mdogo amesoma
Akiwa form 1 mama ake alifariki
Kufika advance kbl ya kumaliza baba ake akauliwa
Daaah mtoto alizoeshwa maisha ya kitajiri mnooo
Endeleza story, kikamkuta nin?
 
***mbona sasa zinazokuaga top ktk high passing points/grade ktk national exams haziwi hizi? Badala badala yake ni zingine kabisa ambazo nadhani zimeshazoeleka kua vinara pale juu kabisa... !!! ***
 
***mbona sasa zinazokuaga top ktk high passing points/grade ktk national exams haziwi hizi? Badala badala yake ni zingine kabisa ambazo nadhani zimeshazoeleka kua vinara pale juu kabisa... !!! ***
hawa huwa hawafanyi mitihani ya necta mkuu
 
Mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliosoma ST,CONSTANTINE (Arusha)
Wakti huo ilikua haijajengwa secondry school
Nilimaliza la 7 nikaendelea ISM international school moshi
Hadi form3 wakani promot GRENJ SECONDRY SHOOL jijini Nairobi
Kwa mwenye swali kuhusiana na shule hizi aniulize nitamjibu tu
 
Msomi wa shule hizo hata kuandika hujui?

Hata Upper case na lower case hujui matumizi yake? Hapana bana acha kutupiga kamba.
 
Inaonyesha wazazi wenye watoto kwenye hizo shule wana grisi za kutosha[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom